Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
ndio maanna mikataba yao ina kamisheni/bonasi,kwa watangazo yatakayoingia kwa ushawishi wake na pia haiwabani ktk tvVijana tupambaneee
Masanja - mwigizaji /comedian
Masanja - mfanya biashara - mchele etc
Masanja - mkulima - mpunga
Masanja - mchungaji wa mito ya baraka
Masanja - mtangazaji /mchambuzi wa habari
Masanja - etc
shughuli zote izo ni mifereji ya fedha kwake