Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

Vijana tupambaneee
Masanja - mwigizaji /comedian
Masanja - mfanya biashara - mchele etc
Masanja - mkulima - mpunga
Masanja - mchungaji wa mito ya baraka
Masanja - mtangazaji /mchambuzi wa habari
Masanja - etc

shughuli zote izo ni mifereji ya fedha kwake
Masanja muuza powder
 
alafu huku tandale tunasema ana hela za frimaso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

nchi hii ina watu wavivu na wenye wivu sana!
 
uchale chale na ucartoon
Umesema kwamba ?
majority ya wasikilizaji wa wasaf na Efm ni vjana
Kwa hio ndio kusema kwamba ?
ingekua hvo wakina maulid na utu uzima ule wasingekua wanajichetua
Na hayo Mambo ndio yamefanyaje yaan ?
Na hayo mambo ndo yamekuza hizo radio mbili
Kwa hio unazungumzia Mambo gani mkuu ?
uchale chale na ucartoon
Okay sawa Asante sana mkuu,
 
Umesema kwamba ?
Kwa hio ndio kusema kwamba ?
Na hayo Mambo ndio yamefanyaje yaan ?
Kwa hio unazungumzia Mambo gani mkuu ?
Okay sawa Asante sana mkuu,
Sawa sawa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
alafu huku tandale tunasema ana hela za frimaso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

nchi hii ina watu wavivu na wenye wivu sana!
Sanaaaa[emoji28][emoji28], mbna hata wewe ukipata hela tutakuita fimasooo
 
Hii ni mada ya vijana wa Dar.
Hivyo viredio sijui EFM, Wasafi Fm mpaka kesho huwa najiuliza inakuwaje watu wa Dar mnapata muda wa kuvisikiliza wakati kutwa nzima vinatapika ugoro, umbeya na mizaha mitupu.
 
Hakuna redio zinazosikilizwa zaidi kama wasafi ,Efm na clouds kwa sasa. Wamejitahidi kugusa kila rika huo ugoro unauona ndo unawafanya wapate matangazo mengi kuliko redio nyngne.
 
Mm sielewag kwann kitenge huwa anapewa hype ivyo yaan yale mautan utan kama mtoto ndo yanafanya mumpende? On my opinion kipind cha veronica Frank kinasikilizwa kuliko vipind vyote vya kitenge kuwai kutokea
Kitenge ana vibe mzee, anachangamsha mazungumzo na point anaongea.
 
Back
Top Bottom