Masanja Mkandamizaji, Mrithi wa Kitenge na Hando EFM

ndio maanna mikataba yao ina kamisheni/bonasi,kwa watangazo yatakayoingia kwa ushawishi wake na pia haiwabani ktk tv
 
Huwezi kuamini na pesa zote za masanja ila alichapiwa [emoji23][emoji23]wanawake bhn
 
power breakfast haina mpinzani, ktk share listen ya vipindi vya asubuhi, efm na wasafi wanapambania share zilizobaki walau wawe namba 2
 
Sio wote mzee ingekua hvo wakina maulid na utu uzima ule wasingekua wanajichetua, Halaf majority ya wasikilizaji wa wasaf na Efm ni vjana kwa hyo no sweat habari inachambuliwa kwa mtindo tofauti ( ubunifu).

Na hayo mambo ndo yamekuza hizo radio mbili uchale chale na ucartoon.
 
power breakfast haina mpinzani, ktk share listen ya vipindi vya asubuhi, efm na wasafi wanapambania share zilizobaki walau wawe namba 2
Of course clouds wapo juu kwenye kipindi chao na wana wasikilizaji wao, ila pia wasafi na efm kwa ubunifu wao wana wasikilizaji wao hasa vijana maana sio kwamba haupati uchambuzi unapata uchambuzi na commed kdg.
 
time frame ya vipindi vya asubuhi si kwa kijana wakawaida, kila muda una msikilizaji wake.

Wasikilzaji wa vipindi vya asubuhi ,kuanzia saa 12 mpk saa tatu ni watu fulani(hata ads za muda huo ni za kampuni fulani hv, )
 
Mm sielewag kwann kitenge huwa anapewa hype ivyo yaan yale mautan utan kama mtoto ndo yanafanya mumpende? On my opinion kipind cha veronica Frank kinasikilizwa kuliko vipind vyote vya kitenge kuwai kutokea
 
Maana fainali huwa ni uzeeni, usipowekeza sasa huko mbeleni utaomba omba watu
 
Inaonekana Clouds kuna uhuru ndo maana watu kama AYO hawajatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…