Yule dada kipindi chake huwa kama kipindi cha taifa kila unapopita utasikia watu wanakisikiliza.Kama majizo utapita kwenye huu uzi uyo dada veronica ndo anatakiwa alipwe zaid sijaona mwingine zaidi yake apo e fm ambae kipind chake kinasikilizwa zaidi
For real fo sure,time frame ya vipindi vya asubuhi si kwa kijana wakawaida, kila muda una msikilizaji wake.
Wasikilzaji wa vipindi vya asubuhi ,kuanzia saa 12 mpk saa tatu ni watu fulani(hata ads za muda huo ni za kampuni fulani hv, )
Kila kitu ni malengo, umefanya utafitu na kubaini namba kubwa ya wasikilizaji wa EFM ni kina nani? Hizo corparate time analysis nani anazielewa?Vipindi vya Ahsubui sio Muda wa kufanya commedy ndo maana clouds wataendelea kubaki namba moja daima.
No research no right to speak, mimi mwenyewe sina hakika ila jamaa wamejitahidi kupindua meza na kupata wasikilizaji wengi sana katika hvo vpndi vya asbhKila kitu ni malengo, umefanya utafitu na kubaini namba kubwa ya wasikilizaji wa EFM ni kina nani? Hizo corparate time analysis nani anazielewa?
Clouds ndo radio ambayo ni most listen unaweza kuangalia online clouds Inasikilizwa na watu wengi tumia simu yako itakuoneshaKila kitu ni malengo, umefanya utafitu na kubaini namba kubwa ya wasikilizaji wa EFM ni kina nani? Hizo corparate time analysis nani anazielewa?
Karanga Mbichi packet 1 na Mo Energy 2 mtu anazimua asubuhi hii jasho linamtoka na kitaulo chake kiko begani, maisha so mchezoSawa sawa [emoji28][emoji28][emoji28]
Inasikilizwa zaidi katika maeneo yepi?? Au unazungumzia overall listerners countrywide??Clouds ndo radio ambayo ni most listen unaweza kuangalia online clouds Inasikilizwa na watu wengi tumia simu yako itakuonesha
Sihitaji kufanya comparison wasikilizaji wa Efm ndio lengo la Efm sio la clouds.... target ya Efm inahitaji utangazaji wa Efm hilo weka kichwani. So huwezi kuja na assumption kuihukumu Efm.Clouds ndo radio ambayo ni most listen unaweza kuangalia online clouds Inasikilizwa na watu wengi tumia simu yako itakuonesha
Maisha mkononi jamàa anayumba barabara nzima na ndio kwanza kumekucha,Burdaan, maisha ndo hayo
SawaKapewa kipindi cha magazeti kama cha kitenge.
Hizi radio stations wachambuzi wengi magumashi. Eti dj Fetty aliyekuwa XXL naye anachambua kwenye morning breakfast ya Clouds 🤔 huu si utani kabisa 😅Kumbe wote ni wale wale[emoji28][emoji28]
Kuwa na akili.kijana.. unadhani masanja huwa anaenda marekani kuuza mchele?Vijana tupambaneee
Masanja - mwigizaji /comedian
Masanja - mfanya biashara - mchele etc
Masanja - mkulima - mpunga
Masanja - mchungaji wa mito ya baraka
Masanja - mtangazaji /mchambuzi wa habari
Masanja - etc
shughuli zote izo ni mifereji ya fedha kwake
Radio zote ni Bora kutokana na sikio la msikilizaji .Inasikilizwa zaidi katika maeneo yepi?? Au unazungumzia overall listerners countrywide??
Kama unazungumzia hvo utakua unakosea kwa sababu clouds ni redio iliyofika sehemu nyingi kuliko wasafi na EFM so obviously itasikilizwa zaidi.
Kama kuna data za listerners of a specific place, zitakua accurate zaidi.
Sawa dada wa kipembaHii ni mada ya vijana wa Dar.
Hivyo viredio sijui EFM, Wasafi Fm mpaka kesho huwa najiuliza inakuwaje watu wa Dar mnapata muda wa kuvisikiliza wakati kutwa nzima vinatapika ugoro, umbeya na mizaha mitupu.
Ila Clouds matangazo yamezidi, kipindi cha saa 1 matangazo zaidi ya dakika 15-20Hakuna redio zinazosikilizwa zaidi kama wasafi ,Efm na clouds kwa sasa. Wamejitahidi kugusa kila rika huo ugoro unauona ndo unawafanya wapate matangazo mengi kuliko redio nyngne.
etc.Kuwa na akili.kijana.. unadhani masanja huwa anaenda marekani kuuza mchele?