Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

Najaribu kuwaza tu kwa sauti...je huyu Masanja na hao wanaompa nafasi kama hiyo mbele ya wageni, yupi kichaa zaidi! Watanzania tuna tatizo na hilo tatizo ni kubwa na kama hatukuchukua hatua tutajikuta pabaya nawaambia!

Najaribu kutafuta nchi ya kuifananisha na Tanzania siioni...tuko kundi la peke yetu.
Ukuta ukijengwa kuzunguka nchi yetu nina hakika watalii wangefurika zaidi na zaidi kuja tu kujiridhisha kwamba sisi nasi ni binadamu kama wao.
 
Huyu sio muhubiri...mnisamehe bure....ni mganga njaa
 
Utanitag
 
100%[emoji3581]
Nakazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…