Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Kumbe umechelewa kazini halafu unataka uchekewe??!! Kumbe bango lako la kinafiki tu, makosa yako mwenyewe. Acha kufanya kazi kwa mazoea!!Habari za asubuhi Wana jf
Ma secretary wa ofisi Wana dharau sana.kisa ni chakula Cha boss anafanya kazi anavyojisikia majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss awezi kufukuzwa kazi...
Salamu nimezipata,hongeri SanaSalamu za Horoya umepokea kwanza?Pili,vipi unawaonea wivu?Omba kazi utapata tu.
Naunga mkono hoja factFata yako mikausho mikali toa salamu tu...Maboss wengi chenga vitambi vikubwa kwa ngono ndo maana ynafilisika .Mtu analipwa pesa kibao ila bado ana madeni likuki kazi kuhonga na kuwapa jeuri wale wavaa vimini
Umekuja kujificha kwa ma-sekretari?Salamu nimezipata,hongeri Sana
Nawaonea huruma sio wivu
Nafasi zikitoka za secretary nichek pm Basi Kaz kusaidiana😁
😁😂😂😁 Mtihani wa necta nilishachelew nusu saaKumbe umechelewa kazini halafu unataka uchekewe??!! Kumbe bango lako la kinafiki tu, makosa yako mwenyewe. Acha kufanya kazi kwa mazoea!!
Secretary mwenye dharau na kujisikiaa.Habari za asubuhi Wana JF,
Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa kazi...
Yupo mkuu.. nimefika ofisini nakuta kavuta mdomo kama chupi iliyokosa luksiVipi secretary upo kazin😂
mwanamke ukimtolea uvivu lazima aanze kukuogopa na kukuheshimu, sometimes wanapimia watu.Secretary mwenye dharau na kujisikiaa.
Kwann usimtolee uvivu??.
Mtolee uvivu ili huyo Boss wake ajue, una misimamo na unajiamin.
Kachanee laivu, kape mabango !!
mikausho mikali ni solution pia, mwanamke akili zake zilivyo ukimpa mikausho mikali lazima ataanza kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa attention yako. Mimi kuna dada wa supermarket alikuwa ana niletea kujisikia sikia nikienda kununua vitu, kuna siku aliniuliza swali kuhusu bidhaa niliyokuwa nalipia, jibu nililompa alianza kunishobokea ila mimi nikaendela kutokuwa na time nae mpaka sasa, nikienda pale ni mikausho tu. mwanamke attention kwake ndio kila kitu hata kama hauna uhusiano nae wa kimapenzi. ndio sababu utasikia maneno kama "huyu kaka huwa hasalimii akikukuta"Fata yako mikausho mikali toa salamu tu...Maboss wengi chenga vitambi vikubwa kwa ngono ndo maana ynafilisika .Mtu analipwa pesa kibao ila bado ana madeni lukuki kazi kuhonga na kuwapa jeuri wale wavaa vimini
Ndioo ,hili liko wazi... Anakuchokonoa, akiona umezubaaa, basi umempa tiketi.mwanamke ukimtolea uvivu lazima aanze kukuogopa na kukuheshimu, sometimes wanapimia watu.
Ukimpa Attention , umempa anachotaka, atakuona wee ni boya tu.mikausho mikali ni solution pia, mwanamke akili zake zilivyo ukimpa mikausho mikali lazima ataanza kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa attention yako. Mimi kuna dada wa supermarket alikuwa ana niletea kujisikia sikia nikienda kununua vitu, kuna siku aliniuliza swali kuhusu bidhaa niliyokuwa nalipia, jibu nililompa alianza kunishobokea ila mimi nikaendela kutokuwa na time nae mpaka sasa, nikienda pale ni mikausho tu. mwanamke attention kwake ndio kila kitu hata kama hauna uhusiano nae wa kimapenzi. ndio sababu utasikia maneno kama "huyu kaka huwa hasalimii akikukuta"
Yaani ukimpa attention umekwisha kama umempa point ..mikausho mikali ni solution pia, mwanamke akili zake zilivyo ukimpa mikausho mikali lazima ataanza kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa attention yako. Mimi kuna dada wa supermarket alikuwa ana niletea kujisikia sikia nikienda kununua vitu, kuna siku aliniuliza swali kuhusu bidhaa niliyokuwa nalipia, jibu nililompa alianza kunishobokea ila mimi nikaendela kutokuwa na time nae mpaka sasa, nikienda pale ni mikausho tu. mwanamke attention kwake ndio kila kitu hata kama hauna uhusiano nae wa kimapenzi. ndio sababu utasikia maneno kama "huyu kaka huwa hasalimii akikukuta"