moyo wa bilionea
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 327
- 649
nimekuelewa vizuri mkuu Carlos The Jackal nakubali kabisa akipewa shit na mwanaume lazima awe mdogoMkuuu umenielewa vibaya.
Mwanamke akipewa shits na Mwanamke mwenzie, SIO habari yakumumiza.
Apewe shits nawanaume Sasa π€£π€£
Hakuna sio kwa wote...jambo la kwanza ambalo huwa ni kama kanuni kwangu kila mahala ninapokua namsalimia mtu kwanza "kwema" halfu naendelea kuweka kauzu mpaka mwisho..Mimi sisemi kwamba hao ma secretary hawana hizo tabia ila kwa upande wangu sijawahi ingia ofisi secretary akaniletea nyodo au kiburi kwanza hakikisha na ww huna muonekano wa kua na kiburi au dharau imagine unaingia ofisi ya watu husalimii unauliza nimemkuta fulani unatarajia huyo secretary atakupokeaje mwingine anapeleka barua za maombi ya kazi inakua kama vita kafika kaacha barua kasepa na secretary nae anazikalia imeisha hiyo.
Niliendaga ofisi moja town mmiliki wa ofisi yupo ghorofa ya mwisho nikafika nikamkuta dada mmoja mziri yuko safi sana nikamsalimia mwanzo alitaka kuleta nyodo ila kwakua nilifika kwenye dawati lake na kumsalimia na kumuuliza hali ndipo nikaomba kumuona boss basi alikua ananiangalia as if nimekosea njia boss aliporuhusu niingie akawa anaskia tunavyopiga stor na kicheka nilipotoka nikamuaga vizuri siku nyingine naenda pale nikamsalimia tena na kumjulia hali alichangamka sana akijua fika sina nyodo na boss ni mshkaji wangu mpka leo yule dada ananiheshimu sana.
Hatujui kuishi na watu tumejawa viburi lawama alafu tuliletewa nyodo tunakua wakwanza kulalama kama tumeonewa.
Haikupunguzii kitu kusalimiana vizuri na secretary au mlinzi kwenye eneo fulani na kuna siri kubwa sana ya mafanikio ukijua kuishi vizuri na walinzi na ma secretary hawa watu wanaweza kupa picha halisi ya kampuni au ofisi unayotaka kuingia na wanaweza push jambo lako likafika sehemu sahihi
Kwema alafu unaweka kauzu ππππ pole sana aseeHakuna sio kwa wote...jambo la kwanza ambalo huwa ni kama kanuni kwangu kila mahala ninapokua namsalimia mtu kwanza "kwema" halfu naendelea kuweka kauzu mpaka mwisho..
Sasa unafika sehemu unamsalimia mtu ila yupo busy na tiktok au instagram
cusomer care ya wanawake wengi huwa ni mbovu sana sehemu za kutoa huduma. Labda ukute mtoa huduma ni mama wa umri kuanzia 46+ ndio anaweza kuwa na care nzuri kwa watejaHakuna sio kwa wote...jambo la kwanza ambalo huwa ni kama kanuni kwangu kila mahala ninapokua namsalimia mtu kwanza "kwema" halfu naendelea kuweka kauzu mpaka mwisho..
Sasa unafika sehemu unamsalimia mtu ila yupo busy na tiktok au instagram
bro mteja ni mfalmeKwema alafu unaweka kauzu ππππ pole sana asee
Kwahiyo uliwa mfalme ndio usiishi vizuri na watu. Iko hivi kiburi hakina tofauti sana na msimamo kwahyo kama huna akili nzuri unaweza hisi una misimamo kumbe kiburi. Mfano kwa waliopanda ndege za kimataifa watanipa ushahidi kuna wafanyakazi mule ndani wana ukarimu sana na wateja wapo wwnye hela ndefu sana ila watja hawaweki ukauzu kisa wanahitaji kuwa wafalme kiburi ni tabia na kiburi ni upungufu wa kujiamini pia kiburi ni uzezeta. Unaleta ukauzu kwa secretari ambae ndio anapokea barua zako hapo unakua na akili au matopebro mteja ni mfalme
ndege za kimataifa zinahudumiwa na wahudumu ambao ni raia wa nchi gani? hapa tunazungumzia wanawake wa kitanzania waliopo kwenye organization zilizopo Tanzania. mkuu unadhani hatujui hata customer care ya jirani zatu wakenya walio wengi ni nzuri zaidi kuliko yetu.Kwahiyo uliwa mfalme ndio usiishi vizuri na watu. Iko hivi kiburi hakina tofauti sana na msimamo kwahyo kama huna akili nzuri unaweza hisi una misimamo kumbe kiburi. Mfano kwa waliopanda ndege za kimataifa watanipa ushahidi kuna wafanyakazi mule ndani wana ukarimu sana na wateja wapo wwnye hela ndefu sana ila watja hawaweki ukauzu kisa wanahitaji kuwa wafalme kiburi ni tabia na kiburi ni upungufu wa kujiamini pia kiburi ni uzezeta. Unaleta ukauzu kwa secretari ambae ndio anapokea barua zako hapo unakua na akili au matope
Sikatai ila tuishi na watu vizuri malalamiko yatapungua sanandege za kimataifa zinahudumiwa na wahudumu ambao ni raia wa nchi gani? hapa tunazungumzia wanawake wa kitanzania waliopo kwenye organization zilizopo Tanzania. mkuu unadhani hatujui hata customer care ya jirani zatu wakenya walio wengi ni nzuri zaidi kuliko yetu.
hapa kwetu kuna wadada wanakuthaminisha kwanza umefika kwa usafiri gani, umevaaje ndio wakupe value yako.
wakuishi na watu vizuri ni watumishi wanawake kwasababu wao ndio hasa wanatoa huduma mbovu kwa wateja.Sikatai ila tuishi na watu vizuri malalamiko yatapungua sana
Sawawakuishi na watu vizuri ni watumishi wanawake kwasababu wao ndio hasa wanatoa huduma mbovu kwa wateja.
Na tatizo jingine ni kuchelewa kazini na kutaka secretary akutunzie siri.Hapo tatizo ni kwa hao ma Boss, wanachanganya Kazi na Mapenzi.
Na sekretari nae anachanganya kazi na nini? Au yeye hachanganyi?Hapo tatizo ni kwa hao ma Boss, wanachanganya Kazi na Mapenzi.
Kwa kawaida,Mwanaume ndio huomba penzi kwa Mwanamke,na unapokua Boss ni lazima uact kama boss na kua mfano kwa wafanyakazi walio chini yako kwa kufuata maadili mema.Na sekretari nae anachanganya kazi na nini? Au yeye hachanganyi?
watu kama huyo dada career yao huwa inaharibika baada ya muda mfupi kwasababu ana godfather tu.Pale GSM lumumba kwa yule shetani mdogo wake na GSM mwenyewe juu kabisa ofisi ya bwa.mdogo anayejiita "Counselor Salaah" kuna ka-secretary ka kiarabu kanaitwa "Sabrina" kana nyodo na dharau utadhani kanakunya keki ya chocolate na kukojoa asali... naona bwamdogo ameshagakatomba mara kadhaa na kukazibua mtaro maana si kwa nyodo zile πππΎ
Mademu wakiliwaga na matajiri bana... sijui huwaga wanajionaje π π π ππΎ
ww endelea kuwachekea chiefKwema alafu unaweka kauzu ππππ pole sana asee