Masekretari wengi wa ofisini wanaliwa na mabosi ndio maana wanadharau wateja

Mimi ni secretary sijawahi kufanya huo ushenzi
 
100% uko sahihi.
 
Fata yako mikausho mikali toa salamu tu...Maboss wengi chenga vitambi vikubwa kwa ngono ndo maana ynafilisika .Mtu analipwa pesa kibao ila bado ana madeni lukuki kazi kuhonga na kuwapa jeuri wale wavaa vimini
Hata mimi naona mikausho mikali inawanyimaga raha sana wanawake. Wanawaza huyu jamaa ananionaje
 
Mtoa mada ndo unaingilia mambo ya watu. Mtu ana K na ndo silaha yake we unategemea nini?
 
waambie kuliwa sio mwisho wa safari
bado safari ni ndefu saana
 
Hahaha
 
Mkuu hawa watu wana mitego hatari, kama sio roho mtakatifu sijui ningekuwa wapi sasa hivi.,,, nilikaimu ofisi miezi kama mitatu hivi ila upuuzi niliokutana nao mpaka niliwaonea huruma wazee wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…