DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kampuni za Kubeti washakula Pesa hapo washatia mfukoniMe naombeni kujua endapo Hilo litatokea je kampuni za kubet wataturudishia hela zetu au itakuwaje
Mnahangaika bure....tanzania inaongoza kwa. Dhulma dhidi ya RaiaWake Mungu anaadhibu kwa njia. Mbali mbali.Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young Africans ataipata upendeleoβ
Maneno hayo ameyasema Stephen Masele aliyewahi Kuwa Rais Wa Bunge la Afrika..
View attachment 2955218
Dah laki mbili nilimpa yangaKampuni za Kubeti washakula Pesa hapo washatia mfukoni
Simba Ni timu yangu ila Siwezi kurisk kuibetia kabisa π€£π€£π€£π€£Dah laki mbili nilimpa yanga
180000 nikampa simba
Naona Ndege ulimwagilia ambili ukijua moja itakuokoa.Dah laki mbili nilimpa yanga
180000 nikampa simba
Nilijua hivo hivo aisee kwenye hii rufaa itabidi tuifuatilie kiundani maboss walioweka mizigo hawatakubaliNaona Ndege ulimwagilia ambili ukijua moja itakuokoa.
Hahaa imeshaliwa hiyo.....kwa hiyo umepoteza Laki Nne Na 80?Nilijua hivo hivo aisee kwenye hii rufaa itabidi tuifuatilie kiundani maboss walioweka mizigo hawatakubali
Yanga walimpa Odds kubwa sana we ulitegemea Kabisa angeshinda kampuni za Bet zingekuwa Salama ...Nilijua hivo hivo aisee kwenye hii rufaa itabidi tuifuatilie kiundani maboss walioweka mizigo hawatakubali
Imeenda hiyo, wanaangalia matokeo ya uwanjani na sio mahakamani πMe naombeni kujua endapo Hilo litatokea je kampuni za kubet wataturudishia hela zetu au itakuwaje
hahahaha hadi nimecheka hizi dini zitawaua, sasa idhulumu Tanzania alafu yanga ndio alipie dhulumaMnahangaika bure....tanzania inaongoza kwa. Dhulma dhidi ya RaiaWake Mungu anaadhibu kwa njia. Mbali mbali.
Na mimi Nashangaa Mkuu Nimeandika Ushindi naona title imebadilika...Kwani kulikuwa kuna pointi zinatafutwa kwenye ile mechi ?View attachment 2955228
VAR wameshafanya yao πNa mimi Nashangaa Mkuu Nimeandika Ushindi naona kichea kimrbadilika
π€£π€£π€£π€£VAR wameshafanya yao πView attachment 2955233
VAR wameshafanya yao πView attachment 2955233