MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young Africans ataipata upendeleo”

Maneno hayo ameyasema Stephen Masele aliyewahi Kuwa Rais Wa Bunge la Afrika..

20240406_081627.jpg

Screenshot_20240406_083352_Adobe Acrobat.jpg

Kwa wale wenzangu wa Kiswahili..
20240406_094258.jpg
 
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young Africans ataipata upendeleo”

Maneno hayo ameyasema Stephen Masele aliyewahi Kuwa Rais Wa Bunge la Afrika..

View attachment 2955218
Mnahangaika bure....tanzania inaongoza kwa. Dhulma dhidi ya RaiaWake Mungu anaadhibu kwa njia. Mbali mbali.
 
Nilijua hivo hivo aisee kwenye hii rufaa itabidi tuifuatilie kiundani maboss walioweka mizigo hawatakubali
Yanga walimpa Odds kubwa sana we ulitegemea Kabisa angeshinda kampuni za Bet zingekuwa Salama ...
Just imegine mtu aliweka 4Mil..
Kwa Odds ya 9.6 si ana 40mil ...
Ndo maana matokeo yakapangwa
 
Masele ujui mpira bhana Yanga tumetolewa kwa kukataliwa goli letu basi hakuna kingine tena hapo wewe pambana na Siasa zako tu.
 
Back
Top Bottom