johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!