Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

Nilishawahi kupokea wazungu nkawawekea African Music hawakuipenda na waliniambia live, "hii hatujaipenda".
Nkawawekea nyimbo za kizungu wakasema hapa "bien".
Nimekaa sana kwenye vikao na hao jamaa, ni wanafiki wenye akili za kutosha kuficha unafiki wao, hususani kwenye issue official.
 
Mbona wanaponda pia na wakati mwingine hata bila kufanya utafiti wa kutosha.
Akikutembelea kwenye masuala ya kuofisi nchini kwako hawezi kukuponda hata siku moja. Watizame wanachokisemaga baada ya vikao vyao na JPM alafu linganisha na matamko na maamuzi wanayoyafanya wakisharudi kwao.
 
Tumeshasau historia kina Carl Peters? Magufuli hahitaji approval ya maseneta kujua kuwa ame-deliver bali historia itamkumbuka hivyo hata ikiwa hawa maseneta hawapo!
 
Hivi mtu ukiwa na urefu wa futi nne na robo na akatokea mtu akakuita "super tall" utachekelea na kujisifia kuwa kweli wewe ni mrefu?
Na hakuna sheria kwamba wote tuwe warefu na urefu unayofanana.
 
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
Hahahahahah... Mataga kazi mnayo, hata Mobutu Seseseko alikuwa akisifiwa na hao Wafaransa, hata Bokassa wa Central Africa, Dikteta mshenz na katili pia alisifiwa sana na wafaransa,
Akisifiwa na UK au US ndo itakuwa sifa halali.
Tunasubiri Topic yako nyingine ya Magufuli kusifiwa na Wachina baada ya kuwaruhusu kuja kueneza Corona Virus.
Dammed CCM Devils

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
Wakimaliza kujifunza kuhusu maendeleo makubwa yaliyopo nchini utuletee mrejesho
 
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
Hujui Channel 10 ni ya ccm na walikuwa wanomba waboreshewe maslahi ya watumishi wake?
Utaletaje chanzo cha habari kutoka channel 10?
 
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
Mzee Mgaya kajulishwa kuhusu hili la maseneta mabeberu !!??
[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom