Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
Ufaransa na maseneta wapi na wapi we lipumbafu?
 
Hii ni kawaida mzungu akikutembelea lazima ukupake mafuta kwa mgongo wa chupa, ataenda kukuchana ukweli akirudi kwao. Mwambie mwenyekiti aacha uoga na kutafuta 'kupendwa'
Wazungu hua wako straight mkuu, hawanaga unafiki...kama kitu hajakipenda anakuchana hapohapo tofauti na sie waafrika
 
Watanzania kwanini mnaiponda serikali ya awamu ya tano wakati mnajionea mambo makubwa inayofanya kwa tanzania yetu hivi nyinyi uongozi mnaoutaka ni upi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wazungu hua wako straight mkuu, hawanaga unafiki...kama kitu hajakipenda anakuchana hapohapo tofauti na sie waafrika
Ni wanafiki hakuna mfano, labda akiwa boss wako ndio atakwambia ukweli. Akiwa mgeni wako kwa mfano kwenye mkutano, hata uongee pumba gani atatabasamu na kukupongeza. Ikiwezekana hata makofi utapigiwa.
 
Mbona sijaona taarifa ya ziara ya maseneta wa Ufaransa huko Tanzania kwenye ukurasa wa Ubalozi wa Ufaransa huko Tanzania?
Uongo si propaganda,uongo ni ushetani.
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
 
Good
IMG_20200303_080252.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wanafiki hakuna mfano, labda akiwa boss wako ndio atakwambia ukweli. Akiwa mgeni wako kwa mfano kwenye mkutano, hata uongee pumba gani atatabasamu na kukupongeza. Ikiwezekana hata makofi utapigiwa.
Nilishawahi kupokea wazungu nkawawekea African Music hawakuipenda na waliniambia live, "hii hatujaipenda".
Nkawawekea nyimbo za kizungu wakasema hapa "bien".
 
Hii ni kawaida mzungu akikutembelea lazima ukupake mafuta kwa mgongo wa chupa, ataenda kukuchana ukweli akirudi kwao. Mwambie mwenyekiti aache uoga na kutafuta 'kupendwa'
Mbona wanaponda pia na wakati mwingine hata bila kufanya utafiti wa kutosha.
 
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!

"Je wewe ndiye robot tuliyeambiwa atakuja kukipigania chama ndani ya jamiiforums ama tungoje mwingine" alisikika mzee mmoja akimuuliza yohana m'batizaji
 
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
Inaonekana huwajui wazungu, wanachokusifia machoni siyo wanachkifikiria moyoni
 
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.

Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.

Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.

Source: Channel ten habari!
Tupe source, vinginevyo ni uzushi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom