kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ngoja waje makengengeza!Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Inategemea anakulinganisha na nini!
Mkuu Mmawia Tundu Lissu anaendeleaje huko Ubeleji? Ahahahahahahah!Sema chanzo ni mali ya ccm
In God we Trust
Wewe ule ugomvi naona hujadhurika buku7 yako uliipata peacefullyKiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Niko Pemba bwashee....... tunabomoa ngome!Wewe ule ugomvi naona hujadhurika buku7 yako uliipata peacefully
Hongera mkuu leo magoti nimemuona kabaki lumumba wewe ndie umebeba mikoba huko wete?Niko Pemba bwashee....... tunabomoa ngome!
External countries mean beberus? Who works so hard to oppose magufulis regime?Endelea kuota,but JPM works so hard and he is appreciated by the external countries
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mlisema kuwa beberu likikuvimbia ujue umelishika sawasawa? Vipi likikusifia?Ngoja waje makengengeza!
Hahahaaa........tukitoka hapa Pemba tunatua Moshi vijijini na Same.......jiandaeni kisaikolojia bwashee!Hongera mkuu leo magoti nimemuona kabaki lumumba wewe ndie umebeba mikoba huko wete?
Sawa mtawanunua wote ila kwangu mmekwama ingawa ni diwani karibu tarime.Hahahaaa........tukitoka hapa Pemba tunatua Moshi vijijini na Same.......jiandaeni kisaikolojia bwashee!
Huko mikoba anayo Mwita Waitara unaweza kumuona mmalizane bwashee!Sawa mtawanunua wote ila kwangu mmekwama ingawa ni diwani karibu tarime.
Source Channel 10,ile Mali ya CCMKiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Hii panic itakufanya ufe kifo kibaya sana.He is not informed and to the worse not knowledgeable! Hata Idd Amin alipewa ukuu wa OAU!
He is not informed and to the worse not knowledgeable! Hata Idd Amin alipewa ukuu wa OAU!
Weka ushahidiKiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
They're so much informed and knowledgeable than you are.He is not informed and to the worse not knowledgeable! Hata Idd Amin alipewa ukuu wa OAU!
Kituo cha Channel Ten ni cha CCM pili maseneta wapi nchini bado hawavuka mpaka unategemea waseme nini?Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Ni nchi ya Uganda iliyopewa ukuu wa OAU, tofautisha na mtawala na bahati mbaya alikuwa AminiHe is not informed and to the worse not knowledgeable! Hata Idd Amin alipewa ukuu wa OAU!