Ufaransa na maseneta wapi na wapi we lipumbafu?Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Wazungu hua wako straight mkuu, hawanaga unafiki...kama kitu hajakipenda anakuchana hapohapo tofauti na sie waafrikaHii ni kawaida mzungu akikutembelea lazima ukupake mafuta kwa mgongo wa chupa, ataenda kukuchana ukweli akirudi kwao. Mwambie mwenyekiti aacha uoga na kutafuta 'kupendwa'
Ukiona mtu anasifiwa na mabeberu ujue wanamkoga tu!Ngoja waje makengengeza!
Ni wanafiki hakuna mfano, labda akiwa boss wako ndio atakwambia ukweli. Akiwa mgeni wako kwa mfano kwenye mkutano, hata uongee pumba gani atatabasamu na kukupongeza. Ikiwezekana hata makofi utapigiwa.Wazungu hua wako straight mkuu, hawanaga unafiki...kama kitu hajakipenda anakuchana hapohapo tofauti na sie waafrika
Mungu wangu!!!!Endelea kuota,but JPM works so hard and he is appreciated by the external countries
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Nilishawahi kupokea wazungu nkawawekea African Music hawakuipenda na waliniambia live, "hii hatujaipenda".Ni wanafiki hakuna mfano, labda akiwa boss wako ndio atakwambia ukweli. Akiwa mgeni wako kwa mfano kwenye mkutano, hata uongee pumba gani atatabasamu na kukupongeza. Ikiwezekana hata makofi utapigiwa.
Rubbish!He is not informed and to the worse not knowledgeable! Hata Idd Amin alipewa ukuu wa OAU!
Mbona wanaponda pia na wakati mwingine hata bila kufanya utafiti wa kutosha.Hii ni kawaida mzungu akikutembelea lazima ukupake mafuta kwa mgongo wa chupa, ataenda kukuchana ukweli akirudi kwao. Mwambie mwenyekiti aache uoga na kutafuta 'kupendwa'
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Inaonekana huwajui wazungu, wanachokusifia machoni siyo wanachkifikiria moyoniKiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Tupe source, vinginevyo ni uzushi tuKiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Channel ten bwashee!