Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Nimekaa sana kwenye vikao na hao jamaa, ni wanafiki wenye akili za kutosha kuficha unafiki wao, hususani kwenye issue official.Nilishawahi kupokea wazungu nkawawekea African Music hawakuipenda na waliniambia live, "hii hatujaipenda".
Nkawawekea nyimbo za kizungu wakasema hapa "bien".
Akikutembelea kwenye masuala ya kuofisi nchini kwako hawezi kukuponda hata siku moja. Watizame wanachokisemaga baada ya vikao vyao na JPM alafu linganisha na matamko na maamuzi wanayoyafanya wakisharudi kwao.Mbona wanaponda pia na wakati mwingine hata bila kufanya utafiti wa kutosha.
He is not informed and to the worse not knowledgeable! Hata Idd Amin alipewa ukuu wa OAU!
Na hakuna sheria kwamba wote tuwe warefu na urefu unayofanana.Hivi mtu ukiwa na urefu wa futi nne na robo na akatokea mtu akakuita "super tall" utachekelea na kujisifia kuwa kweli wewe ni mrefu?
Hahahahahah... Mataga kazi mnayo, hata Mobutu Seseseko alikuwa akisifiwa na hao Wafaransa, hata Bokassa wa Central Africa, Dikteta mshenz na katili pia alisifiwa sana na wafaransa,Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Wakimaliza kujifunza kuhusu maendeleo makubwa yaliyopo nchini utuletee mrejeshoKiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
Na hakuna sheria kwamba wote tuwe warefu na urefu unayofanana.
Kama umeacha kusoma unacomment huoni hicho ulicho andika Ni upumbavu wa kiwango cha lamiHii ni kawaida mzungu akikutembelea lazima ukupake mafuta kwa mgongo wa chupa, ataenda kukuchana ukweli akirudi kwao. Mwambie mwenyekiti aache uoga na kutafuta 'kupendwa'
Acha ujingaMipango miji na miundo mbinu! Haikosi wamemsifia baada ya kupita pale Jangwani baada ya ile mvua ya majuzi.
Hii haina tofauti na ile hadithi ya "joho la mfalme ni maridadiiiii!!" kumbe yuko uchi na yeye ndio anazidi kutembea kwa madaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani liardhi lipasuke uingiemoKifua mbele
In God we Trust
Hujui Channel 10 ni ya ccm na walikuwa wanomba waboreshewe maslahi ya watumishi wake?Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa utakuwepo nchini kwa muda wa wiki moja na utatembelea miradi mbalimbali.
Source: Channel ten habari!
It is another political masturbation... Ha ha haHe is not informed and to the worse not knowledgeable! Hata Idd Amin alipewa ukuu wa OAU!
Mzee Mgaya kajulishwa kuhusu hili la maseneta mabeberu !!??Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.