Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😥😥😥Sawa.
Ronaldo wako njeNdugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
SamwalekoMorocco anatoka !! Ureno ni wajanja sana Tena anaweza kupigwa goli nyingi ndani ya dk 90.
😥😥😥Samwaleko
Hili pia linathibitisha huangalii mpira, Morocco wangekua makini Portugal alikuwa anakufa goli za kutosha, wamekosa goli mchezaji na kipa hana hata wa kumzonga, chance kubwa zaidi kwenye mechi.Acha kupayuka ukiongozwa na dini wewe dogo. Morocco ni timu nzuri ila wanatembea kwenye bahati kubwa sana. Wamekoswa mno leo na lile ni jambo hatarishi. Sijui ni how long their luck will hold.
Yule jamaa anakosa sana magoli hata kwenye mechi na Spain alikosa nafasi za wazi. Ila lango la Morocco limekuwa kwenye presha kubwa tangu mwanzo wa mchezo mpaka mwisho.Hili pia linathibitisha huangalii mpira, Morocco wangekua makini Portugal alikuwa anakufa goli za kutosha, wamekosa goli mchezaji na kipa hana hata wa kumzonga, chance kubwa zaidi kwenye mechi.
Wote walikuwa na shot on target 3 na off target 6.
😥😥Mpira sio mdomoni sheik
Hio ni tactic, as long as timu pinzani haitengenezi clear cut chances inafanya kazi. Ubelgiji, Canada, spain mpaka portugal imefanya kazi.Yule jamaa anakosa sana magoli hata kwenye mechi na Spain alikosa nafasi za wazi. Ila lango la Morocco limekuwa kwenye presha kubwa tangu mwanzo wa mchezo mpaka mwisho.
Leo wameweza ku-hold lakini kwa staili ile sijui kama wataweza kufanikiwa kwa kucheza chini ya mashambulizi na presha kubwa vile.
Hii tactic imetumika kwa mafanikio mpaka sasa hivi, lazima Morocco wapongezwe. Napenda leo ufaransa apite ili nione kama itaweza kufanikiwa kwa kukutana na timu zinazopress kwa nguvu na zinazoweza kupiga kross za juu na vichwa wakati wa kushambulia.Hio ni tactic, as long as timu pinzani haitengenezi clear cut chances inafanya kazi. Ubelgiji, Canada, spain mpaka portugal imefanya kazi.
Kama wewe ni mpenzi wa mpira utakua ushaiona imetumika mamia ya mechi, sasa hivi Mourinho anatabasamu tu huko.
Mbona mkuu nilishaanzisha thread kitambo kuhusu Morocco upo jukwaa hili hili mimi sio shabiki maandazi.Umechelewa kutoa maoni haya. Au ndio kusema hukuuona huu uzi kabla ya mechi?
We ni wale wanaojua wachezaji kupitia betting ila mpira hamuangalii mnaangalia nani kachana mkeka yaani hapo unamachungu ulimuua Morocco halafu kachana mkeka.Umezidiwa na mapenzi ya dini ndio maana unasema Portugal kakoswa zaidi.
Lakini uchawi wako haujafua dafu, na hapo ulipo unaona haibu utadhani umejinyea vile...Hii tactic imetumika kwa mafanikio mpaka sasa hivi, lazima Morocco wapongezwe. Napenda leo ufaransa apite ili nione kama itaweza kufanikiwa kwa kukutana na timu zinazopress kwa nguvu na zinazoweza kupiga kross za juu na vichwa wakati wa kushambulia.
Hii mbinu imepelekea huyo Maurinho apotee kwenye mpira wa kisasa. Chelsea, Man utd, Tottenham, kote huko walimkataa kwasababu hii style inataka uwe na aina fulani ya wachezaji.
ahahahaaMkuu hili halina ubishi kabisa
Finali ni ARGENTINA VS PORTUGAL
Mmoja wao anaondoka na kombe na kustaafu kabisaa
Bado wapo sanaNdugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Hata hujui walikuwa kwenye njia moja kuelekea finalNapenda kuiona nusu fainali ya ureno na ufaransa ili fainali ya Euro 2016 ijirudie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Morocco anatoka !! Ureno ni wajanja sana Tena anaweza kupigwa goli nyingi ndani ya dk 90.