Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

Mashabiki wa Morocco nadhani leo mtakuwa mmeelewa nilichokuwa nawaambia. Mfumo wa kukaa nyuma muda wote haufai hasa mpinzani wako akipata goli la mapema.

Niliwaeleza mlikutana na timu zenye pasi na sio kasi. Mlicheza na timu zisizoweza kufanya pressing za maana. Wakati mwingine muwe mnasikiliza wazoefu tunapoongea.
Wewe jamaa sijui mpira unaangalia tofauti na wanaouwangalia wengine. Mechi ya jana unataka kusema Morocco walifungwa kwasababu walikaa nyuma muda wote? Kati ya Morocco na Ufaransa jana ni timu ipi iliyopaki basi?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa sijui mpira unaangalia tofauti na wanaouwangalia wengine. Mechi ya jana unataka kusema Morocco walifungwa kwasababu walikaa nyuma muda wote? Kati ya Morocco na Ufaransa jana ni timu ipi iliyopaki basi?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 Endelea kukaza fuvu. Morocco wapaki basi ili iweje wakati walishafungwa tangu mapema. Niliwaambia ule mfumo wao hauwezi kuwafikisha mbali mkawa wabishi.

Sasa Croatia naye anaenda kuwaburuza.
 
😂😂😂😂 Endelea kukaza fuvu. Morocco wapaki basi ili iweje wakati walishafungwa tangu mapema. Niliwaambia ule mfumo wao hauwezi kuwafikisha mbali mkawa wabishi.

Sasa Croatia naye anaenda kuwaburuza.
Hauwezi kuwafikisha mbali na wamefika nusu? Dunia ina nchi zaidi ya 100 wao wameingia top 4 sio mbali?

Wamefika mbali kuliko Uingereza, Brazil, Ureno, Spain, Uholanzi na Ma giant wengine kibao.
 
Sasa mbona kila ukiongea kitaalamu unaishia kupigwa d.ole si bora ungekua unanyamaza?
Naona wafaransa wamekutia mimba hadi umelikimbia jukwaa. Tunza huyo mtoto usitoe mimba.
 
ungekuwa unaongea kitaalamu usingeleta upuuzi wako;binafsi nilikuwa na waswas na forward ila kwa leo walivoingia ni tofauti na juzi,acha ujuaji
Vipi bado unaugulia kukutana na vidume vikanyoosha hilo tobo? Timu yenyewe ina magoli matano na imefungwa matatu lakini mkawa mnaisifia. Shwain kabisa.
 
Uliniita mpumbavu, nikatulia kimya sababu huwa sipendi lugha ya matusi kwenye kujibu hoja. Ila mpaka hapa umeshajiona umetawaliwa na ushabiki. Kila mtu anakushangaa wewe. Na mwisho wa siku umetulia kama maji mtungini. Jifunze kuzuia hisia za kishabiki.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Waropokaji sasa hivi mmejawa na aibu.
 
Lakini uchawi wako haujafua dafu, na hapo ulipo unaona haibu utadhani umejinyea vile...
Nacheka sana, wanafki hii timu itawauweni, wallah.
Wewe mropokaji sasa hivi umekaa hapo unatibu tundu lenye mabao mawili.
 
Morocco bingwa, wachawi acheni kuunga mkono ushoga, njooni tushangilie chama la wana.
Timu za mashoga mlisema zitatoka mapema halafu ikawaje? Qatar, Saudi Arabia, Iran, Tunisia na hao akina Germany wakatoka pamoja hivyo tumejua ushoga ulipojazana ni wapi.
 
Excute kazoea kuropoka yeye kila kitu anaweka Udini

Hapo alipo anaona aibu mpaka basi

Haya sasa hiyo ndege wameandaa Morocco lakini wanapanda mabwana zako ureno kawape pole
Tunza hiyo mimba uliyopewa jana kwa mabao mawili.
 
Mzee mimi sijui mpira ila wewe sasa ni kiazi kwenye mpira. Huwa sichangii mada za mpira ila nimekuja hapa kukwambia achana na hizi mambo hujui kitu. Kwanza hii WC unatazama au unaendeshwa na kumbukumbu za kihistoria
Rudi usome mashudu uliyoandika hapa. Nyie hamjui mpira mmekimbilia kuropoka tu bila kusikiliza wataalamu.
 
Yaani unaonekana hata mechi za Morocco huangalii ww ungekuwa unaangalia usinge andika utopolo huu team iliyoruhusu goal moja tu kwenye world cup huo ujasiri sijui mnautoa wapi yaani mkiona team ina messi Ronaldo au neymar basi mnaamini itashinda kama hao wengine ni viwete vile.
Dogo ulifika mbali sana katika kupigania imani mpaka unaropoka kuwa wataalamu hatujaona mechi za Morocco. Kombe la dunia halitaki janjajanja za kukaa nyuma na kuvizia.

Hiyo Morocco imefunga magoli matano na kufungwa matatu, hamna timu hapo.
 
Kupitia huu uzi nimeamini wengi hawaangalii mpira tecnical and tactical ingekuwa wanaangali mechi za Morocco wasingeandika utopo huo kuhusu Morocco.
Dogo wewe ulijawa na itikadi ndio maana hukuweza kuona tulichokuwa tunakuonyesha.
 
Wamoroco wa buza, tandale, buguruni, ilala nk mnaionaje timu yenu? Je mshaelewa tulichokuwa tunawaeleza?
 
Back
Top Bottom