T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mbona unanitag kwenye uzi wa mechi ya Portugal na Morroco. Nani alifunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unanitag kwenye uzi wa mechi ya Portugal na Morroco. Nani alifunga
Wewe jamaa sijui mpira unaangalia tofauti na wanaouwangalia wengine. Mechi ya jana unataka kusema Morocco walifungwa kwasababu walikaa nyuma muda wote? Kati ya Morocco na Ufaransa jana ni timu ipi iliyopaki basi?Mashabiki wa Morocco nadhani leo mtakuwa mmeelewa nilichokuwa nawaambia. Mfumo wa kukaa nyuma muda wote haufai hasa mpinzani wako akipata goli la mapema.
Niliwaeleza mlikutana na timu zenye pasi na sio kasi. Mlicheza na timu zisizoweza kufanya pressing za maana. Wakati mwingine muwe mnasikiliza wazoefu tunapoongea.
😂😂😂😂 Endelea kukaza fuvu. Morocco wapaki basi ili iweje wakati walishafungwa tangu mapema. Niliwaambia ule mfumo wao hauwezi kuwafikisha mbali mkawa wabishi.Wewe jamaa sijui mpira unaangalia tofauti na wanaouwangalia wengine. Mechi ya jana unataka kusema Morocco walifungwa kwasababu walikaa nyuma muda wote? Kati ya Morocco na Ufaransa jana ni timu ipi iliyopaki basi?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hauwezi kuwafikisha mbali na wamefika nusu? Dunia ina nchi zaidi ya 100 wao wameingia top 4 sio mbali?😂😂😂😂 Endelea kukaza fuvu. Morocco wapaki basi ili iweje wakati walishafungwa tangu mapema. Niliwaambia ule mfumo wao hauwezi kuwafikisha mbali mkawa wabishi.
Sasa Croatia naye anaenda kuwaburuza.
Vipi bado unaugulia kukutana na vidume vikanyoosha hilo tobo? Timu yenyewe ina magoli matano na imefungwa matatu lakini mkawa mnaisifia. Shwain kabisa.ungekuwa unaongea kitaalamu usingeleta upuuzi wako;binafsi nilikuwa na waswas na forward ila kwa leo walivoingia ni tofauti na juzi,acha ujuaji
Waropokaji sasa hivi mmejawa na aibu.Uliniita mpumbavu, nikatulia kimya sababu huwa sipendi lugha ya matusi kwenye kujibu hoja. Ila mpaka hapa umeshajiona umetawaliwa na ushabiki. Kila mtu anakushangaa wewe. Na mwisho wa siku umetulia kama maji mtungini. Jifunze kuzuia hisia za kishabiki.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Timu za mashoga mlisema zitatoka mapema halafu ikawaje? Qatar, Saudi Arabia, Iran, Tunisia na hao akina Germany wakatoka pamoja hivyo tumejua ushoga ulipojazana ni wapi.Morocco bingwa, wachawi acheni kuunga mkono ushoga, njooni tushangilie chama la wana.
Rudi usome mashudu uliyoandika hapa. Nyie hamjui mpira mmekimbilia kuropoka tu bila kusikiliza wataalamu.Mzee mimi sijui mpira ila wewe sasa ni kiazi kwenye mpira. Huwa sichangii mada za mpira ila nimekuja hapa kukwambia achana na hizi mambo hujui kitu. Kwanza hii WC unatazama au unaendeshwa na kumbukumbu za kihistoria
Dogo ulifika mbali sana katika kupigania imani mpaka unaropoka kuwa wataalamu hatujaona mechi za Morocco. Kombe la dunia halitaki janjajanja za kukaa nyuma na kuvizia.Yaani unaonekana hata mechi za Morocco huangalii ww ungekuwa unaangalia usinge andika utopolo huu team iliyoruhusu goal moja tu kwenye world cup huo ujasiri sijui mnautoa wapi yaani mkiona team ina messi Ronaldo au neymar basi mnaamini itashinda kama hao wengine ni viwete vile.
Dogo wewe ulijawa na itikadi ndio maana hukuweza kuona tulichokuwa tunakuonyesha.Kupitia huu uzi nimeamini wengi hawaangalii mpira tecnical and tactical ingekuwa wanaangali mechi za Morocco wasingeandika utopo huo kuhusu Morocco.
Ambayo hiyo mechi ilikuumbua na umbumbu wako wa sokaWewe ni mbwa wa mwarabu. Umeona hili bandiko lilikuwa la mechi gani?
Hilo tunguli linaendeleaje saa hizi?