Mashabiki wa Simba acheni uvivu nendeni mpige kura kwa Chama muda umebaki mfupi

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa.

Kupiga kura ni rahisi sana usisubiri wala kutegea wengine wafanye. Download App ya Twitter kama hauna. Jisajili Twitter kama hauna account, zoezi linalochukua chini ya dakika 3.

Bonyeza link hii hapa @CAFCLCC utaingia moja kwa moja kwenye post ya kupiga kura. Link pia ipo kwenye bio katika IG page ya Simba.

Utaona post ya kuwashindanisha wachezaji wa game 5 ambapo yupo Chama na Kanoute.

Bonyeza kwenye jina la Chama. Unakuwa umemaliza.

Waliopiga kura jumla mpaka sasa ni watu 177,441. Simba kule IG ina followers zaidi ya milioni 1 na huko Twitter zaidi ya milioni 1 pia. Tulimalize hili jambo.
 
Mechi moja tena dhidi ya timu dhaifu iliyokosa wachezajji wake 5 muhimu wa kikosi cha kwanza, haiwezi kumfanya CHAMA awe mchezaji bora wa Wiki.
Wanasemaje huko Gamboshi?

Kukujibu zaidi. Al Ahly wametoa wachezaji wawili kwenye shindano la mchezaji wa wiki baada ya kumfunga timu ndogo na dhaifu ya Coton Sports 4-0.
 
Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa.

Kupiga kura ni rahisi sana usisubiri wala kutegea wengine wafanye. Download App ya Twitter kama hauna. Jisajili Twitter kama hauna account, zoezi linalochukua chini ya dakika 3.

Bonyeza link hii hapa @CAFCLCC utaingia moja kwa moja kwenye post ya kupiga kura. Link pia ipo kwenye bio katika IG page ya Simba.

Utaona post ya kuwashindanisha wachezaji wa game 5 ambapo yupo Chama na Kanoute.

Bonyeza kwenye jina la Chama. Unakuwa umemaliza.

Waliopiga kura jumla mpaka sasa ni watu 177,441. Simba kule IG ina followers zaidi ya milioni 1 na huko Twitter zaidi ya milioni 1 pia. Tulimalize hili jambo.

Mods naomba msiunganishe huu uzi na zile nyingine. Nimeona nije nitoe hamasa mpya maana muda siyo rafiki. Mafanikio ya Simba ni mafanikio ya Tanzania.
Usijali, wengi tumepiga kura zaidi ya 100!

Hesabu za haraka wakitokea watu 1,000 wakipiga kura zaidi ya 100 hapo Chama anapata zaidi ya kura 100,000 kutoka kea watu 1,000 tu.
IMG-20230322-WA0013.jpg
 
Kwa kukumbushia tu kwa wale wanaobeza zoezi hili, wengine wanasema Simba imecheza na timu dhaifu. Al Ahly wametoa wachezaji wawili kwenye shindano hili baada ya kumfunga timu ndogo na dhaifu ya Coton Sports 4-0. Hao Coton Sports kila mtu amejipigia goli za kutosha.

Acheni wivu wananchi 🤣😂🤣
 
Back
Top Bottom