Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo kwani?Acheni uvivu nendeni mkapige kura ndio makombe yenu msimu huu.[emoji1][emoji1]
Ndugu Mbumbumbu hakuna kupeana thamani kwenye mpira wa miguu, Wekezeni fedha na wataalamu matokeo yatakuja tu.Kesho keshokutwa CAF na FIFA wakionekana wanaipa thamani zaidi Simba mnatafuta mchawi wakati ni nyie wenyewe.
Kwani hizo tuzo za wiki zimeanza leo na kwani wameanzisha Simba? Nyie ni watu wa ajabu sana.Ndugu Mbumbumbu hakuna kupeana thamani kwenye mpira wa miguu, Wekezeni fedha na wataalamu matokeo yatakuja tu.
Sisi Yanga tuna vuna Mataji kwakua tuliwekeza kwenye viongozi sahihi walioleta wadhamini sahihi na wataalamu sahihi.
Hatuitaji kupiga kura Ili tushinde chochote zaidi ya uwekezaji na utaalamu.
Kule wenye akili ni wawili tu.Kwani hizo tuzo za wiki zimeanza leo na kwani wameanzisha Simba? Nyie ni watu wa ajabu sana.
Kwanza hauoni zinawapa motisha wachezaji kujituma zaidi maana profile zao zinaongezeka. Yaani mpaka haya mnahitaji kuelimishwa kweli?
Uo ni upuuzi ulio anzishwa na wapuuzi kutafuta wapuuzi watakao waunga mkono.Kwani hizo tuzo za wiki zimeanza leo na kwani wameanzisha Simba? Nyie ni watu wa ajabu sana.
Kwanza hauoni zinawapa motisha wachezaji kujituma zaidi maana profile zao zinaongezeka. Yaani mpaka haya mnahitaji kuelimishwa kweli?
Wivu unamsumbua tu hana loloteKwani hizo tuzo za wiki zimeanza leo na kwani wameanzisha Simba? Nyie ni watu wa ajabu sana.
Kwanza hauoni zinawapa motisha wachezaji kujituma zaidi maana profile zao zinaongezeka. Yaani mpaka haya mnahitaji kuelimishwa kweli?
Povu kama lote,unakuwa na wivu na gubu kwa wachezaji kisa wamechaguliwa na CAF wakati kina Mayele wanatamani na wao walau wangekuwa wanachomoza anga hizi.Uo ni upuuzi ulio anzishwa na wapuuzi kutafuta wapuuzi watakao waunga mkono.
Hakuna mchezaji anaye jitambua asuburie motivation za mchongo Ili awe Bora.
Unazifahamu tuzo za CAF lakini? Ivyo ni vitu vidogo vidogo ambayo CAF Wana wawekea mashabiki wenye akili ndogo.Povu kama lote,unakuwa na wivu na gubu kwa wachezaji kisa wamechaguliwa na CAF wakati kina Mayele wanatamani na wao walau wangekuwa wanachomoza anga hizi.
Mishipa ya shingo imekukakamaa kisa wachezaji wa simba wamechaguliwa.Hatuna cha kukusaidia,baki na makasiriko yako,sisi ndiyo kwanza twaenda kupiga kuraUnazifahamu tuzo za CAF lakini? Ivyo ni vitu vidogo vidogo ambayo CAF Wana wawekea mashabiki wenye akili ndogo.
Kwakua mbumbumbu fc kwenye mpira halisi wamepotea Sasa mnajifariji Kwa vitu vya ki puuzi.
Sijui kama unajua hesabu wewe! Anayetafutwa ni wa hizo "MECHI MOJA"! Wivu tu unakusumbua! Sina shaka umeshapigia kura upande wa pili!Mechi moja tena dhidi ya timu dhaifu iliyokosa wachezajji wake 5 muhimu wa kikosi cha kwanza, haiwezi kumfanya CHAMA awe mchezaji bora wa Wiki.
Acha makasiriko. Tuambie kile tusichojuaHuyo mahmoud kahraba followers mil 3 twitter! Wala Hata hana habari na hiyo tuzo eti kujipigia debe kwenye page yake......
kama huyu mzambia mwenye followers 460k...
Kahraba akiamua......tweet moja tu ya kuomba kura....anamuacha mbali sana huyu nyang'au....
Ila wala hata! Hana habari kabisaa! Na hiyo tuzo ya kuku! Kwenye page yake👇👇
Kunywa maji ya baridi upunguze munkariHuyo mahmoud kahraba followers mil 3 twitter! Wala Hata hana habari na hiyo tuzo eti kujipigia debe kwenye page yake......
kama huyu mzambia mwenye followers 460k...
Kahraba akiamua......tweet moja tu ya kuomba kura....anamuacha mbali sana huyu nyang'au....
Ila wala hata! Hana habari kabisaa! Na hiyo tuzo ya kuku! Kwenye page yake[emoji116][emoji116]