Mashabiki wa Simba acheni uvivu nendeni mpige kura kwa Chama muda umebaki mfupi

Mashabiki wa Simba acheni uvivu nendeni mpige kura kwa Chama muda umebaki mfupi

Zimebaki 2% tupindue meza. Acha uvivu mwenye nchi, kuwa sehemu ya historia.
 
Nimetoka kupiga kura muda huu, oyaaa imebaki asilimia 2 tumpindue mwarabu
 
Screenshot_20230322-135059.png
 
Hivi hizi tuzo za mchezaji bora wa wiki ni kwaajili ya wachezaji wa Cafcl pekee au,, maana mpaka sasa sijaona mchezaji yeyote kutoka kwenye kombe la mbuzi akiwania hii tuzo..
 
Kuna kuround off ndiyo maana unaziona hivyo,lakini mmoja wapo atakuwa na 45 na point kadhaa ambazo zinaround off kwenda 46.Lakini mwisho wa kura hesabu zitakaa sawa.
Ni kweli. Tuongeze gap kumuache mwarabu hata kwa 2% ndiyo Chama atakuwa salama.
 
Mechi moja tena dhidi ya timu dhaifu iliyokosa wachezajji wake 5 muhimu wa kikosi cha kwanza, haiwezi kumfanya CHAMA awe mchezaji bora wa Wiki.
Wivu ni kidonda kilichokaa kwenye bandama ndani ya mwili
 
Mimi siwezi kufanya upuuzi kuchagua huyo mdudu anae jiita chama...tayari nimeshamyoa kwa Chupa chama......na kura yangu 1 kwa Mahmoud K!...👇
 

Attachments

  • Screenshot_20230322-110102.png
    Screenshot_20230322-110102.png
    54.6 KB · Views: 1
Kweli Kazi ya promotion mmeifanya wanasimba.... KWA masaa takriban mawili tu...! Chama anazidiwa point 1 tu ma mohamed k!?...

Kazi nzuri kitengo cha habari mmeifanya👇
 

Attachments

  • Screenshot_20230322-145452.png
    Screenshot_20230322-145452.png
    70.9 KB · Views: 2
Kweli Kazi ya promotion mmeifanya wanasimba.... KWA masaa takriban mawili tu...! Chama anazidiwa point 1 tu ma mohamed k!?...

Kazi nzuri kitengo cha habari mmeifanya[emoji116]
Dk 3 tu kabla ulibandika screen shot nyingine na kejeli juu,ulikuwa hujaona kwani hii update?

Btw mpaka sasa wapo sawa hakuna anaezidiwa.Kanoute na Tau ndiyo wamepoteza.Chama atashinda huu mchuano.
 
Back
Top Bottom