Nyuma mwiko
Yeye ndie wakwanza kufika pale jukwaani.Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Angevaa rangi nyingine,mechi ya Simba haikumhusu ni kiherehere chake tuYeye ndie wakwanza kufika pale jukwaani.
Uwezi kumpangia mtu nguo ya kuvaa.Angevaa rangi nyingine,mechi ya Simba haikumhusu ni kiherehere chake tu
One crime doesn't justify another to be executed in the same way, grow up Man!Yule bwana mdogo wa yanga ambae ni msemaji wao ,ndio kasababisha mpira uwe wa chuki kati ya simba na yanga.
Ni mechi ngapi za yanga tunawaona mashabiki Wa Simba na hakuna vurugu? Sio Kila kitu Cha kutetea tujifunze kuambizana ukweli kosa linapotokeaKwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Wewe una karba ya ushoger...mtu anayejitambua haongei upuuzi huu... Hizo zilikuwa ni dalili za kufungwa.Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Kabla ya hizi timu kuwa na wasemji viazi hasa yanga na simba kwa manara, mpira ulikua ni utani wa jadi mwenye amani na utulivu mno .Ujinga sii kitu cha kuuliza kwa mashabi wa simba ni asili yao
Hatuwezi puuzia chanzo cha tatizo , tukadili tu na matokeo ya tatizo.One crime doesn't justify another to be executed in the same way, grow up Man!
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mashabiki wa simba wana mtindio wa ubongo.Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Yule bwana mdogo wa yanga ambae ni msemaji wao ,ndio kasababisha mpira uwe wa chuki kati ya simba na yanga.
Mwenye matatizo makubwa ni huyu kiazi aliejipeleka katikati ya watu anaojua wana mtindio wa ubongoMashabiki wa simba wana mtindio wa ubongo.
Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?