Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

Kitendo hiki hakikubaliki popote..
Hawa wale rungu tu.. hakuna namna...
View attachment 3348280
Hii ni aibu kubwa, wamejiaibisha wao na wameiaibisha klabu ya Simba kwa ujumla wake kwa kuwa haijakemea kitendo hicho na kuomba radhi kwa niaba ya hao vibaka jamii itaamini kuwa ushenzi na upumbavu huo ndiyo msimamo na itikadi za klabu ya Simba.
 
Hapo tayari nimeshafafanua
Hujafafanua huyo bwana mdogo amesababisha vipi mpira uwe wa chuki.
Amefanya vitendo Gani au ametoa kauli Gani iliyosababisha hayo unayoyadai.
Wadau wangependa kujua.
 
Uwezi kumpangia mtu nguo ya kuvaa.

All in all subilini lungu Toka CUF kutokana na chain ya matukio mliohusikanayo kwenye ule mchezo.
Kama hilo rungu halihusishi timu yetu pendwa kufutwa haituumizi,tutaendelea kuwashikisha adabu kwa viherehere vyenu
 
Mechi nyingi za Yanga huwa tunawaona mashabiki wa simba tena wamevaa jezi za simba wamekaa upande wa Yanga wakiendeleza utani na hakuna mtu aliyewagusa wala kuwadhalilisha
Mechi nyingi zipi hizo.? Acha maneno maneno. Ile mechi ilishakuwa na tention zikiwemo za kuhujumiana. Wewe unajipeleka na mshati wako wa Yanga.

Kwani mashabiki wa yanga hawajawahi kufanya huo ujinga.

Mambo mengine ni mtu binafsi tu. Basi amgrvaa jezi za berkane na akaenda kukaa kwenye jukwaa lake.

Hata siku ya kupiga kura huwa hairuhusiwi kuvaa nguo ama sare za vyama vya siasa.
 
Mkuu tulipocheza na mamelod si mlinunua jezi tele za ubuntu ubonto na mkajichanganya nasi na hakuna kesi yoyote iliyoripotiwa ya mashabiki wa simba kujeruhiwa kisa wamejichanganya na wa yanga. Mechi nyingi za kimataifa mlikua mnakuja na jezi zenu na hakuna aliyewabughudhi.

Kwenu mechi zenu zina tension ila za Yanga hazina ee!!?? Video nyingine nimeiona jamaa wa Yanga alivaa tshirt ya Yanga kisha juu yake akavaa tshirt ya chelsea ila mkamvagaa na kumlazimisha avue ya Yanga mkaichana hadharani. Mna ugomvi mbaya sana na sio ushabiki huo.

Msilazimishe ashabikie waarabu ukute yeye ni Yanga ila akaamua kuweka uzalendo mbele kuwaonyesha berkane kuna umoja bongo but akili finyu zikaamua kuwajeruhi wasio na hatia.

Uchaguzi mkuu huwezi ulinganisha na masuala ya mpira. Uchaguzi huvai sare ila kwenye mechi unavaa jezi

Back
Top Bottom