nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Mwone huyu nyani,Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Mwone huyu nyani,Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
We ni nguruwe jike uko kwenye sk zakoAngevaa rangi nyingine,mechi ya Simba haikumhusu ni kiherehere chake tu
Huwa wakitoka hapo wanaenda huko mitaani kujitapa, nimevaa jezi ya Simba au Yanga na hawajanifanifanya chochote.hapo ndo utajua hujui! tatizo sisi tunapenda kutaka huruma kwenye kitu sio mimi napenda simba lakini kama mshabiki wa Simba akajichomeka vile kwa wananchi topolo de jangwani! mimi wala sitomuonea huruma apigwe tu
Hv vitoto vya 2000 ni janga kwa TaifaKabla ya hizi timu kuwa na wasemji viazi hasa yanga na simba kwa manara, mpira ulikua ni utani wa jadi mwenye amani na utulivu mno .
Wewe kimeo kumbuka Sim a au Yanga si Azam fc.We ni nguruwe jiko uko kwenye sk zako
Siyo tu wa hovyo bali ni wajinga zaidi ambao hawajui mpira ni nini
Jamaa akili zake siyo nzuri. Kwanini asivae nguo za kawaida?Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Yaani aina hii ya maoni ndio inaonyesha u mbumbumbu umekuingia kwa kiasi gani, yaani ushabiki una pelekea kuondoa thamani ya utu.Kwahyo baada ya hapo alikufa?
Peleka uzuzu hukoYaani aina hii ya maoni ndio inaonyesha u mbumbumbu umekuingia kwa kiasi gani, yaani ushabiki una pelekea kuondoa thamani ya utu.
Kikao cha familia, 😂😂😂😂Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Chanzo ni Makolokolo wenyewe, Rejea ubomoaji wa viti vya Mashabiki uwanja wa Mkapa ukiwa mpya kabisa ni hao hao Madunduka ndiyo walianzisha fujo na kung'oa viti.Hatuwezi puuzia chanzo cha tatizo , tukadili tu na matokeo ya tatizo.
OkChanzo ni Makolokolo wenyewe, Rejea ubomoaji wa viti vya Mashabiki Mkapa stadium ukiwa mpya kabisa ni hao hao Madunduka ndiyo walianzisha fujo na kung'oa viti.
So tubariki kosa la leo liwe endelevu kisa lilianzishwa na wengine?
Upo Mahakamani unajitetea kuwa hata flani naye alikosea nilivyokosea mimi, utapona kweli kwa adhabu?
Grow up Man!
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nilitaka kusema hiviNi mechi ngapi za yanga tunawaona mashabiki Wa Simba na hakuna vurugu? Sio Kila kitu Cha kutetea tujifunze kuambizana ukweli kosa linapotokea