Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Yeye ndie wakwanza kufika pale jukwaani.
 
Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Ni mechi ngapi za yanga tunawaona mashabiki Wa Simba na hakuna vurugu? Sio Kila kitu Cha kutetea tujifunze kuambizana ukweli kosa linapotokea
 
Ujinga sii kitu cha kuuliza kwa mashabi wa simba ni asili yao
Kabla ya hizi timu kuwa na wasemji viazi hasa yanga na simba kwa manara, mpira ulikua ni utani wa jadi mwenye amani na utulivu mno .
 
Huyo unamsingizia. Kama ingekua hivyo enzi za manara akiwa simba damu ingemwagika. Na kuna press sijui ni Ceo au nani wa simba aliongea maneno ya hovyo akifukuza mashabiki wa timu nyingine wasiende uwanjani. Hivi kwann mnamchukia kamwe?
Yule bwana mdogo wa yanga ambae ni msemaji wao ,ndio kasababisha mpira uwe wa chuki kati ya simba na yanga.
 
Mechi nyingi za Yanga huwa tunawaona mashabiki wa simba tena wamevaa jezi za simba wamekaa upande wa Yanga wakiendeleza utani na hakuna mtu aliyewagusa wala kuwadhalilisha
Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…