Sio kwemwe tu hata manara alivyokua simba niliona ni mjinga tu ambae mwisho wa siku atasababisha burudani ya mpira iwe vita., miaka ya nyuma utani jadi ukikua mzuri sana tofauti na hiki kizazi cha p2Huyo unamsingizia. Kama ingekua hivyo enzi za manara akiwa simba damu ingemwagika. Na kuna press sijui ni Ceo au nani wa simba aliongea maneno ya hovyo akifukuza mashabiki wa timu nyingine wasiende uwanjani. Hivi kwann mnamchukia kamwe?
Kumbe huwa hauna akili kiasi hiki? Nimeshangaa sanaKwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
Utaahira wa kiwango cha juu sana huu. Halafu eti yanashangilia kabisa!
Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika
Hapana, Msemaji wa Simba ndio anaongoza kwa chuki na maneno ya shombo.Yule bwana mdogo wa yanga ambae ni msemaji wao ,ndio kasababisha mpira uwe wa chuki kati ya simba na yanga.
Kabisa na ukishaanza kutumia hisia lazima uonekane mjinga hata kama akili zipo.Timu hizi zinawafanya watanganyika waonyeshe ujinga wao hadharani bila aibu.
SawaHapana, Msemaji wa Simba ndio anaongoza kwa chuki na maneno ya shombo.
Niusenge tu wa mashabiki wa Simba mboni KMC hua mashabiki wanachanganyika na hakuna kufukuzana uwanjani?Angevaa rangi nyingine,mechi ya Simba haikumhusu ni kiherehere chake tu
Kabisa kuna watu huwa wanawashwa kupigwa mkuu, kama hakulijua hilo huyo mshabiki wa yanga atakua kaitumia akili yake vibaya.Mechi ya Madrid na arsenal kuna mwamba alikuwa kakaa na mashabiki wa Madrid na yeye ni arsenal na timu yake ilikuwa inacheza kabisa gori akafunga saka jamaa akasimama ashangilie kilichomkuta haamini. Mpira Una hisia kali usijaribu kuhatarisha maisha yako umeona kajiaibisha bure kapigwa mateke mbele ya watoto wake na mke wake!
hamna haja ya kujichomeka pale tena na familia! kwanza ashukru alitoka wangempiga Sana afu mbele ya watoto na mke aibu sana. Yeye ni kiongozi wa familia yake hatakiwi kuaibishwa vile na hilo yeye ndo anapaswa kulijua kablaKabisa kuna watu huwa wanawashwa kupigwa mkuu, kama hakulijua hilo huyo mshabiki wa yanga atakua kaitumia akili yake vibaya.
Mechi ya Madrid na arsenal kuna mwamba alikuwa kakaa na mashabiki wa Madrid na yeye ni arsenal na timu yake ilikuwa inacheza kabisa gori akafunga saka jamaa akasimama ashangilie kilichomkuta haamini. Mpira Una hisia kali usijaribu kuhatarisha maisha yako umeona kajiaibisha bure kapigwa mateke mbele ya watoto wake na mke wake!
hapo ndo utajua hujui! tatizo sisi tunapenda kutaka huruma kwenye kitu sio mimi napenda simba lakini kama mshabiki wa Simba akajichomeka vile kwa wananchi topolo de jangwani! mimi wala sitomuonea huruma apigwe tuHayo kayafanye kwenye hizi timu,.
Flamengo vs Fluminense
Zamalek vs Al Alhy
Boca junior vs River Plate
Cha ajabu haya yapo huku kwetu tu.Mechi ya Madrid na arsenal kuna mwamba alikuwa kakaa na mashabiki wa Madrid na yeye ni arsenal na timu yake ilikuwa inacheza kabisa gori akafunga saka jamaa akasimama ashangilie kilichomkuta haamini. Mpira Una hisia kali usijaribu kuhatarisha maisha yako umeona kajiaibisha bure kapigwa mateke mbele ya watoto wake na mke wake!
Nyinyi kizazi cha Sasa mna shida kichwani, Sisi tumeangalia mpira Shamba la Bibi tukiwa kule mzunguko tumechanganyika mashabiki wa Simba na Yanga katika mechi za ligi na za kimataifa.Kwenye mechi ya Simba unavaa jezi ya Yanga na kwenda kukaa katikati ya mashabiki wa Simba halafu upo na mtoto na mke unadhani ile ni honeymoon?
mambo ya sasa sio ushamba lakini ya zamani ndio ushambaNyinyi kizazi cha Sasa mna shida kichwani, Sisi tumeangalia mpira Shamba la Bibi tukiwa kule mzunguko tumechanganyika mashabiki wa Simba na Yanga katika mechi za ligi na za kimataifa.
Kila Shabiki ata shangilia timu anayo ipenda na watu hawakupigana.
Kwasasa Kuna ushamba mwingi sana katika mpira wa miguu.
Duu, wana laana hao tena mtu na familia yake? Vile vitoto vimejifunza nini, hapana hii nchi si wote ni watu, wengine bado ni nguruwe tu. Hizi timu 2 siyo za kushabikia kuna ushetani mwingi humo. Hivyo vibwengo sasa wamepata wanachostahili wanalialia nini. Nguruwe tu hao, kwanini serikali isiwatie korokoroni hao washenzi na sura zao ziko wazi, wamefanya hayo mbele ya Rais