M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Hii ni aibu kubwa, wamejiaibisha wao na wameiaibisha klabu ya Simba kwa ujumla wake kwa kuwa haijakemea kitendo hicho na kuomba radhi kwa niaba ya hao vibaka jamii itaamini kuwa ushenzi na upumbavu huo ndiyo msimamo na itikadi za klabu ya Simba.
Umechelewa sana kujua kama hana akiliKumbe huwa hauna akili kiasi hiki? Nimeshangaa sana
Kivipi? FafanuaYule bwana mdogo wa yanga ambae ni msemaji wao ,ndio kasababisha mpira uwe wa chuki kati ya simba na yanga.
Elezea kidogo, ki vipi ni wa KoLo na si wa Uto?Hapana, Msemaji wa Simba ndio anaongoza kwa chuki na maneno ya shombo.
Hapo tayari nimeshafafanuaKivipi? Fafanua
Hujafafanua huyo bwana mdogo amesababisha vipi mpira uwe wa chuki.Hapo tayari nimeshafafanua
Hujafafanua huyo bwana mdogo amesababisha vipi mpira uwe wa chukiHapo tayari nimeshafafanua
Kama hilo rungu halihusishi timu yetu pendwa kufutwa haituumizi,tutaendelea kuwashikisha adabu kwa viherehere vyenuUwezi kumpangia mtu nguo ya kuvaa.
All in all subilini lungu Toka CUF kutokana na chain ya matukio mliohusikanayo kwenye ule mchezo.
Mechi nyingi zipi hizo.? Acha maneno maneno. Ile mechi ilishakuwa na tention zikiwemo za kuhujumiana. Wewe unajipeleka na mshati wako wa Yanga.Mechi nyingi za Yanga huwa tunawaona mashabiki wa simba tena wamevaa jezi za simba wamekaa upande wa Yanga wakiendeleza utani na hakuna mtu aliyewagusa wala kuwadhalilisha
Mechi nyingi zipi hizo.? Acha maneno maneno. Ile mechi ilishakuwa na tention zikiwemo za kuhujumiana. Wewe unajipeleka na mshati wako wa Yanga.
Kwani mashabiki wa yanga hawajawahi kufanya huo ujinga.
Mambo mengine ni mtu binafsi tu. Basi amgrvaa jezi za berkane na akaenda kukaa kwenye jukwaa lake.
Hata siku ya kupiga kura huwa hairuhusiwi kuvaa nguo ama sare za vyama vya siasa.