Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien

Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha

Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF

Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii

Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani

Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Wewe ni kuku
 
Si uhalisia kuwa mashabiki wa Simba hawakung'oa na kurusha viti?
Soma tena andiko lako mwanzo mwisho. Hakika utaona jinsi uliandika kwa hisi hasi dhidi ya Simba na Wala sio tukio halisi la uharibifu wa kiwania.

Fans wa Simba wao walireact baada ya hiko unachosema uharibifu/vurugu kianzishwa na wageni.
 
Me sijasema nani alianzisha fujo
Ila hakuna sababu ya msingi ya kuvunja viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja kisa umechokozwa
Siku wakicholozwa sana si watauchoma moto uwanja sasa
 
Soma tena andiko lako mwanzo mwisho. Hakika utaona jinsi uliandika kwa hisi hasi dhidi ya Simba na Wala sio tukio halisi la uharibifu wa kiwania.

Fans wa Simba wao walireact baada ya hiko unachosema uharibifu/vurugu kianzishwa na wageni.
Kwahiyo viti vimeng"olewa au
 
Kwa hiyo kuvaa jezi ya Simba ndio uthibitisho?
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Yani mechi ya Simba ndo mwenyeji halafu mashabiki wa katika Tunisia kuja kuvunja viti uwanja wa Taifa
 
Msibishane wakati uo uwanja una CCTV camera Bado Kuna matukio mengi yaliyo rekodiwa yakionyesha wanao ng'oa viti na kurushiana.
Huitaji Maguvu video zipo mitandaoni
 
Msibishane wakati uo uwanja una CCTV camera Bado Kuna matukio mengi yaliyo rekodiwa yakionyesha wanao ng'oa viti na kurushiana.
Huitaji Maguvu video zipo mitandaoni
Aibu ziko dhahiri waliong'oa viti ni mashabiki wa Simba
Wanasema eti walichozwa
Sasa tungoje wachokozwe sana wakasirike, uwanja wauchome moto
 
Kichwa nundu...utalala hoii
Mechi 3 point 1
 
Back
Top Bottom