Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Ushasema mwanajeshi sasa anakuwaje tena raia?.mwanajeshi ame sign kufa na kupona kwenye uwanja wa vita,yeye vita ndo maisha yake kwa iyo warusi kupoteza wanajeshi sio jambo geni kwao maana vita vyote lazima apoteze wanajeshi.ila yeye uwa anajilipa kwa kumega sehemu ya ardhi.

Ukraine usitegemee irudi kama ilivyokuwa mwanzo.lazima ardhi imegwe na nchi mpya izaliwe.
 
Unaweza nieleza unaelimu gani kuhusu vita. Kama sio vita diplomasia ya nje.

Unaweza nieleza ulishawai kuandikia ripoti vita gani kati ya vita zilizotokea.

Kijana huko tandale ujuaji na porojo za urusi na ukraine
Wewe mzee wa maripoti kila thread mtu akiandika against russia unasema ulishawahi kuandika ripoti, hemu wewe anzisha thread halafu uweke ripoti za vita uvijuavyo.,

Unaambiwa Russia aliwambia ukraine wekeni silaha chini kwa hiyari yenu au tunawaangamiza lakini Ukraine wakakataa kuweka silaha chini sasa badala yake hatukuona impact yoyote ya kukataa kwao kuweka silaha chini kumbe Russia alikuwa ashabanwa na kashafikishwa ukingoni, hatimae sasa miji yoote ya Kyiv imegombolewa watoto wanaaza kwenda shule.

Mulitishwa na kuaminishwa Mrusi hashikiki hashikiki, sasa unachokishuhudia kwa macho yako Ukraine kilichompata mrusi umebaki unataka ripoti ya vita, lete wewe kwanza hizo ripoti hapa tuzichambue.

Zelensky bado ni Rais wa Ukraine na anatamba kila siku mikutano hii na hii anafanya akiwa katika majengo ya kifahari ndani ya Ukraine hakuna Mrusi aliyethubutu hata kumkaribia alipo, huu ni udhaifu mkubwa wa Putini ambaye alikuwa na lengo la kumtoa madarakani na kumsimamisha wakala wake ambaye atafuata mila za urusi.,

Alichofanya mrusi kubwa ambacho tunakiona ni kuua raia ambao hawana hatia, na sasa hii ni weakness kubwa mtu ajigambaye kama huyu kenge Putini.

Marekani saiv wanajuta kuiaminisha dunia kwamba Ukitoa Marekani wenyewe basi Russia anafuatia kwa nchi ambazo zimeendelea katika technologia ya kivita na kwamba ni mataifa hatari, kumbe ni afadhali ya Ukraine taifa ambalo ukienda kwenye ramani za kivita kidunia ata alikuwa hatajwi.
 
Mkuu dela lako halichoki? Maana unalizungusha sana nguo ya ndani itaonekana sasa
 
Sasa mbona unaandika mipasho ya taarabu
 
Kumbe mataifa mengine yalishaingilia na Putin akaufyata? Kwa hiyo kumbe Ile kauli ya atakayeingilia naye atapigwa ulikuwa ni mkwala mbuzi tu[emoji38][emoji38]
Hakuna misafara ya Urusi huko Ukraine, Javeline ya muingereza imekuja kutuambia kuwa hakuna mbabe wa vifaru na misafara ya kipumbavu dhidi yake.

Heshima yake Javeline.
 
@saysafiri
 
Tena watasema propaganda.
 
Naomba kujua umri wako na elim yako please...
 
Mbona Marekani na NATO ndiyo hawataki Urusi isikike mpaka wakakata hata mtandao wa RT wa Urusi ili ulimwengu usikie upande wao tu? Unachosema ni kinyume kabisa na ukweli unaojiri.
 
Kwelii kabisa nguvu ya kibamia🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…