Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Wewe unachekesha sana,hutaki kuamini britanicca anaishi huko,halafu wewe unataka tukuamini kwa maneno matupu kuwa unaishi Scandinavia [emoji3][emoji3],kama huamini mwenzio aishi huko basi hata wewe unaishi Kolomije huko jirani na Bashite[emoji3]
Na ndio mana sina upande kwa sababu nafahamu propaganda iliyopo. Na vita kubwa kwa sasa ni Petrodollar
 
Majamaa yamekufa kiboya sana vifaa vyote vya kisasa yanavyo lakini yanauliwa kizembezembe kweli kweli yalichofanikiwa ni kubomoa bomoa maghorofa ya hapo mauripol & Odessa
Kubomoa bomoa magorofa au siyo, huongelei zaidi ya watu milioni 5 ambao ni wakimbizi sasa hivi na maisha yao hayatarudi kama yalivyokuwa tena...kuishi normal life una nyumba watoto wanaenda shule, hospital access, na wazazi wanaingiza kipato...unajua hamna kinachofanyika huko ukraine mda huu?
 
Hili ni jambo jema. Lakini haifai kitu kuipenda familia yako lakini ukashangilia madhila yanayozipata familia zisizo na hatia huko Ukraine.

Hizi ni dalili za awali kwamba utakua mchawi katika uzee wako

Mimi ni mzee na ni mchawi. Wapi nimeshangilia. Shida ya kua mjinga ndio hii. Mtu anapo taka validation ya kitu anaonekana hayuko Sawa
 
Wazee wa operation ya siku tatu mnabadilisha hoja kila leo.
Mmemjua sasa mrusi wenu kuwa ni mweupe sana. Ukweli mchungu ni kwamba hata mreno tu anampasua vipande
Operations imekamilika tumeharibu kila kitu, tumeharibu miundombinu na baadhi ya majimbo tumeyapa uhuru wao, unataka nini kima ww tena ??
 
Bali ni Military Operation cyo [emoji38][emoji38]
Naam
RUSSIA hajapigana ama hjaingia VITANI na UKRAINE
Siku RUSSIA akiingia VITANI na UKRAINE amini yakwamba DUNIA nzima itaelewa yakwamba sasa MOSCVA iko VITANI na UKRAINE rasmi !!!
 
Wazee wa kubazi muachage double standard eti. Marekani akivamia Afghanistan akaharibu kila kitu ni vita. Ila Putin akivamia Ukraine akaharibu kila kitu ni operation maalum. Ujinga ulioje
Uache kukurupuka mdogo wangu
Kama PUT IN mwenyewe anasema yupo kwa OP maalum mimi nani nimbishie
Ukikua utaacha
 
Naam
RUSSIA hajapigana ama hjaingia VITANI na UKRAINE
Siku RUSSIA akiingia VITANI na UKRAINE amini yakwamba DUNIA nzima itaelewa yakwamba sasa MOSCVA iko VITANI na UKRAINE rasmi !!!
Lini na wapi aliingia vitani halafu Dunia nzima ikatetemeka au ikaelewa? Yaani nyie pro Duma ni kama kichwani hazipo iwezo wake umeishia pale thanks to St javelin kifaa kutoka Lockheed USA vifaru vimepata shida
 
Achana na matusi mdogo angu. Hayatakusaidia kitu
Tokea lini mm nikawa na mdogo ambae anachuki ndani ya moyo dhidi ya Uislamu?? Safisa uchafu wako kwanza moyoni mwako ndio uje uongee na mm, mada imeongea vita ya Ukraine ww unakuja na shobo za kidini ndio maana mm huwa sitaki kudeal na watu kama nyinyi
 
Unaweza nieleza unaelimu gani kuhusu vita. Kama sio vita diplomasia ya nje.

Unaweza nieleza ulishawai kuandikia ripoti vita gani kati ya vita zilizotokea.

Kijana huko tandale ujuaji na porojo za urusi na ukraine
Wewe umeweka sasa hiyo ripoti ya vita?? Yaani ni kitu gani kinachoweza kutufanya tukuone wewe una elimu ya vita?
 
Wewe hiyo official yako umepata wapi?? Umeweka source?? Punguzeni ujuaji maandazi aisee. Kama unapinga data zake weka za kwako with reliable source pia.
 
Marekani alipovamia Iran akamuua Qassem Suleimani pia yeye hakuiita vita. Alisema ni operation ya kumkamata kiongozi wa magaidi. Naye tumsikilize?
IRAN ipi!!!!?
Wee jama ngoja nikuache kwanza nifanye mambo yangu mrngineyo!
 
😀😀😀 Mimi huwa nawaambia shida sio chanzo cha habari,shida yao ni je habari inawafurahisha wao??.
Neno lao wanalipenda sana kulitumia "Propaganda za magharibi"😀😀
 
Hahah
 
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
 
Zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…