Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Putin alimpa rais wa Ukraine masaa 24 ajisalimishe, aweke silaha chini la sivyo atamuondolea mbali na kusimika utawala mpya Kiev, alichokutana nacho, amepoteza mara mia zaidi na amekunja mkia anageuza, na anafuatwa huko huko....
Hebu nukuu hayo .
La kujisalimisha ni sahihilkn lakusimika utawala ni uongo.
Nukuu
 
Hizo takwimu umepata wapi wakati official figure raia waliokufa 1,437 wewe unatoa 5000+ lakini pia hujatoa vyanzo vya taafifa zako ni kipi. Acheni propaganda ya vita visivyokuhusu.

badala yake Fikiria namna ya kupambana na gharama za maisha zilizopanda namna gani utasaidia familia na jamii yako.
Ukraine wanalalamika kuna mauaji ya halaiki na mass grave huko karibu na kyivu lakini @butarica anatuambia waliouwawa wengi ni warusi.
 
Mtu uko mchamba wima ata bei ya mfuta hujui unkula kwenu harafu unatuletea tathimini ya vita huko Ukraine.
 
Mkuu ni
Ili habari ya CCN na BBC iwe ya kweli kwao iandike Drone ya Ukraine yadunguliwa na Askri wa Urusi", hapo meno 34 yote nje kwa KICHEKO na watajaza katika hiyo thread kama kumbikumbi😂😂.
ila ikiandika", vifaru vya Urusi vime-towed kwa KUKOSA mafuta!!!, wewe ulieleta habari utashambuliwa na chanzo chako habari.
mecheka sana!
Na post yako nai-copy ili nitumie mbeleni.
 
Ukiachana na kuharibiwa tu DOM BAS sio tena eneo la UKRAINE haribifu lakwanza hili
Na hapa walipofikia ODESA na uwanda mzima ule wapwani unaopakana na CRIMEA hautakua tena mali ya UKRAINE
Hii OP ilikua kimkakati zaidi kuharibiwa nchi kwenye mapigano nikawaida ila kumegwa sehemu zahio nchi nakuunganishwa ama nakufanywa kua kama taifa linalojitegemea ndio tatizo
Kiufupi yanayomtokea ama yatakayomtokea UKRAINE kwenye hii OP kama yalomkuta GEORGIA mwaka 2008 baada yakumalizwa mapigano watu wakasepa na OSETIA na ABKHAZIA kama sijakosea
Huyu nae kwenye hii OP kuanza wameanza na DONESTK na LUHANSK na bado wanaendelea na ODESSA wanaendelea na KHARKIV wanaendelea na MAURIOPOL
Kiufupi UKRAINE haitakua tena kwenye ile shape yake iliokua nayo miezi miwili ama mitatu kabla ya hii OP nahii ndio main target
Mnazunguruka tu ukweli mchungu Russia kamshindwa Ukraine
 
Kitendo cha wanajeshi wa urusi kuishia njiani bila kimchomoa Zelesky ndio kinachodhihirisha kufeli kwa operation yao.
Urusi nia yao kuu ni kuidhoofisha kijeshi Ukraine na wamefanikiwa kwa 90% sababu kwa sasa Ukraine anategemea support ya mabwana zake wa Nato Ulaya na Marekani kumpa silaha za kupambana.

Angekosa support kwa 100% angekuwa kamshamlamba viatu mrusi maana angekuwa kashatepeta. Russia hapigani vita in full scale ila ni operation ya kuharibu military bases za Ukraine na kumforce Zelensky aachane na mpango wake wa kujiunga na Nato.
 
Kitendo cha wanajeshi wa urusi kuishia njiani bila kimchomoa Zelesky ndio kinachodhihirisha kufeli kwa operation yao.
Mkuu chukulia mfano tu, mmezinguana mkaanza kutembezeana kichapo vijana wa std 7 na madogo wa std 4 mkono kavu kavu mnawatia displini madogo, ila kadri ugomvi unavyoendelea wanalialia kuwa wanaonewa wasaidiwe kisha machalii wengine wa std 3,2 na 1 wanaleta kokoto majambia,bisibisi, viwembe na kuwapa madogo wenzao wa std4 ila nyie still mabro mnapambana kavu kavu kiume lazma mtakuwa na majeraha mabaya licha kuwa mlianza mkiwazidi nguvu na mwisho mtaanza kuonekana mnazidiwa maana kuna ambao watatobolewa macho na kuumizwa vibaya na makundi ya 4,3,2,1 ambao wataongeza nguvu.

Hiki ndio mfano halisi wa kinachotokea Ukraine na Russia.
 
IMG-20220406-WA0015.jpg
 
Urusi nia yao kuu ni kuidhoofisha kijeshi Ukraine na wamefanikiwa kwa 90% sababu kwa sasa Ukraine anategemea support ya mabwana zake wa Nato Ulaya na Marekani kumpa silaha za kupambana.

Angekosa support kwa 100% angekuwa kamshamlamba viatu mrusi maana angekuwa kashatepeta. Russia hapigani vita in full scale ila ni operation ya kuharibu military bases za Ukraine na kumforce Zelensky aachane na mpango wake wa kujiunga na Nato.
Unakiri ukraine kusaidiwa ktkt hii vita ila haukiri responce ya russia kuwa ni zero baada ya kufeli kuwashikisha adabu wanaomsaidia ukraine.
 
Unakiri ukraine kusaidiwa ktkt hii vita ila haukiri responce ya russia kuwa ni zero baada ya kufeli kuwashikisha adabu wanaomsaidia ukraine.
Kuwashikisha adabu ni direct confrontation. Hakuna ambaye anataka vita kwenye ardhi yake sio Urusi, Marekani wala Nato agents.

Kitendo cha Marekani kutupa hata jiwe urusi ni alert kuwa sasa mambo yameiva. Alipue jengo moja Moscow city tu kisha uone namna ambavyo Nuclear bomb inawezaje kuisambaratisha New York in seconds! Marekani hawezi jaribu sababu hawezi pigana bila msaada wa Nato agents.

Full scale war ya kimaangamizi inahusisha silaha zote iwe za nuclear, moto, laser au biological weapons. Nato wanajua kuwa Russia still anauwezo wa kupambana na boya yeyote yule. Hii ikitokea yaweza kuwa mwisho wa dunia kwa maana ya mataifa ya ulaya huko.

Janja ya Nato itasalia kwenye vikwazo tu na kumtumia silaha Ukraine kwa siri japo Urusi anaelewa hilo na anazibutua kila anapopata gap. Vile vile urusi ameamua kuwa vice kwa kuwashurutisha wanunue gas yake kwa russian ruble. Hivyo vikwazo vitasaidia kumpandishia hela yake thamani.
 
Back
Top Bottom