Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Igweeeeeee kwa Javeline[emoji119][emoji119]Hakuna misafara ya Urusi huko Ukraine, Javeline ya muingereza imekuja kutuambia kuwa hakuna mbabe wa vifaru na misafara ya kipumbavu dhidi yake.
Heshima yake Javeline.