Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

Unakiri ukraine kusaidiwa ktkt hii vita ila haukiri responce ya russia kuwa ni zero baada ya kufeli kuwashikisha adabu wanaomsaidia ukraine.
Adabu gani Sasa? Mauaji ama? Maana kama ni defense ya Ukraine Sasa hivi imechakazwa chakazwa. Urusi Kiev alikuwa ameizunguka, karudi tu nyuma Sababu ya mazungumzo.

Lengo LA Mrusi ni maslahi yake, akiyapata hayo mengine ni yenu mashabiki.
 
Swali langu hii ni special operation au ni full scale War,nauliza hivi maana Pro Russia mnajificha kwa kichaka cha USA alitumia siku ngapi kule Iraq,lkn mnasahau pale mwanzo mlisema ni project ya 72hrs only[emoji846]
Haikutakiwa kuzidi wiki kama milango ya kuingiza mamluki na silaha kinyemela toka NaTo ingefungwa.
 
Hakuna kitu kama hicho si ajabu anaishi kwa mpalange lakini anajifanya anaishi nje. Mimi naishi scandinavia nafahamu propganda zilizopo.

Wewe unachekesha sana,hutaki kuamini britanicca anaishi huko,halafu wewe unataka tukuamini kwa maneno matupu kuwa unaishi Scandinavia [emoji3][emoji3],kama huamini mwenzio aishi huko basi hata wewe unaishi Kolomije huko jirani na Bashite[emoji3]
 
Kumbe mataifa mengine yalishaingilia na Putin akaufyata? Kwa hiyo kumbe Ile kauli ya atakayeingilia naye atapigwa ulikuwa ni mkwala mbuzi tu[emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda huelewi maana ya operation ya kijeshi urusi hajaenda vitani
Balozi wa Urusi UN katika maongezi UN alikuwa anaongelea "VITA " inayoendelea Ukraine wewe uko Tz unasema ni operation. Hiyo Russia unayoiona kwenye hii vita ndio Russia yenyewe sasa, usifikiri wana cha zaidi ya hapo. Tena hapo ana usaidizi wa Belarus.
 
Ukiachana na kuharibiwa tu DOM BAS sio tena eneo la UKRAINE haribifu lakwanza hili
Na hapa walipofikia ODESA na uwanda mzima ule wapwani unaopakana na CRIMEA hautakua tena mali ya UKRAINE
Hii OP ilikua kimkakati zaidi kuharibiwa nchi kwenye mapigano nikawaida ila kumegwa sehemu zahio nchi nakuunganishwa ama nakufanywa kua kama taifa linalojitegemea ndio tatizo
Kiufupi yanayomtokea ama yatakayomtokea UKRAINE kwenye hii OP kama yalomkuta GEORGIA mwaka 2008 baada yakumalizwa mapigano watu wakasepa na OSETIA na ABKHAZIA kama sijakosea
Huyu nae kwenye hii OP kuanza wameanza na DONESTK na LUHANSK na bado wanaendelea na ODESSA wanaendelea na KHARKIV wanaendelea na MAURIOPOL
Kiufupi UKRAINE haitakua tena kwenye ile shape yake iliokua nayo miezi miwili ama mitatu kabla ya hii OP nahii ndio main target
Kumwondoa raisi hamtaki tena ?
 
Mkuu chukulia mfano tu, mmezinguana mkaanza kutembezeana kichapo vijana wa std 7 na madogo wa std 4 mkono kavu kavu mnawatia displini madogo, ila kadri ugomvi unavyoendelea wanalialia kuwa wanaonewa wasaidiwe kisha machalii wengine wa std 3,2 na 1 wanaleta kokoto majambia,bisibisi, viwembe na kuwapa madogo wenzao wa std4 ila nyie still mabro mnapambana kavu kavu kiume lazma mtakuwa na majeraha mabaya licha kuwa mlianza mkiwazidi nguvu na mwisho mtaanza kuonekana mnazidiwa maana kuna ambao watatobolewa macho na kuumizwa vibaya na makundi ya 4,3,2,1 ambao wataongeza nguvu.

Hiki ndio mfano halisi wa kinachotokea Ukraine na Russia.
Sidhani kama Urusi hakuyajua haya kabla hajaingia Ukraine.
 
Kumwondoa raisi hamtaki tena ?
Kuna sehemu RUSSIA waliongelea kumuondoa KOMEDIAN
au kama unaniuliza mimi kama mimi kuna sehemu labda niliongelea suala la jamaa kutolewa madarakani!!?
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Netherlands :
Prime Minister Mark Rutte said: “We are facing an incredibly high inflation rate of 11%.

Prices are rising so fast that the government can't fix it."

HAHAHAHA
 
Back
Top Bottom