baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Adabu gani Sasa? Mauaji ama? Maana kama ni defense ya Ukraine Sasa hivi imechakazwa chakazwa. Urusi Kiev alikuwa ameizunguka, karudi tu nyuma Sababu ya mazungumzo.Unakiri ukraine kusaidiwa ktkt hii vita ila haukiri responce ya russia kuwa ni zero baada ya kufeli kuwashikisha adabu wanaomsaidia ukraine.
Lengo LA Mrusi ni maslahi yake, akiyapata hayo mengine ni yenu mashabiki.