Mashabiki wa Yanga ni jobless? Mnapata wapi muda wa kuzurura hadi Rwanda

Mpaka sasa simba bado hawaja waelewa yanga. Simba wanafikili yanga wanashinda misafara.kumbe yanga wanafanya biashara kubwa na yenye faida kubwa kwa matawi yao na wanachama.
Kitu chakwanza wajiulize hizi kosta zoote mmiliki ni nani?

Kosta moja inapakia watu 20.
20×150, 000 =Tsh 3, 000, 000/=

Kutoka dar hadi kigali umbali 1450km
Kosta moja inakula mafuta lita 1 kwa kilometa 7.

Hivyo 1450km÷7 =210 makadilio.
Maana yake kwenda na kurudi ni lita 420.

Hivyo 420 ×3350 bei ya mafuta. Ni sawa na shi 1, 500, 000 makadilio.
Hivyo mwenye kosta hii/hizi ni nani?

Kama kosta za wanachama wa matawi basi wamewafaidisha wenye matawi yao. Na kama za mtu anakodisha basi anafaida ya sh.1, 500, 000/=kila kosta moja.
Sasa kama zimeenda 40. Zidisha mala hiyo.

msemaji wa simba yeye analalamika na mabasi makubwa sijui vikosta. Shaulizenu.
 
Wanapata wapi pesa za kuzurula?kwenda Rwanda na kurudi na kukaa huko 2 days UKIWA jobless utaweza?

Wewe endelea kuitumikia pesa,Wacha wao pesa iwatumikie
Vibaka
 
Sio watu wote wenye pesa wana report kwa Bocy wewe pumbavu, kuna wengine tunapiga simu kuuliza nini kinaendelea J3 asubuhi huku tunaelekea Beach.
Pumbavu wewe huna hata mia hapo ulipo,jf kila mtu boss mamayo,unanuka umasikini tu hapo
 
Hahahahaha, watu wameona Fursa wameitumia, hii safi sana
 
Tunafanya kazi kupata pesa tuitumie kupata raha! Hata Mimi ningekuwa nazo zaidi ningeenda Rwanda kwenye totoz Kali!

Ukweli ni kuwa Yanga hii inapiga boli haswa PIRA GAMONDI hivyo hamasa ni kubwa kwenda Rwanda kupata burudani!

Yanga hii Iko next level , ni klabu ya Taifa for now! Imani yangu watu wengi tutaangalia mechi ya Yanga na sio Simba maana tunajua Simba watakandwa 3-0 na Power Dynamos! Jamaa walijiangusha Simba day Ili wanaSimba wajione wababe!
 
Kijana ambaye yuko busy anapataje muda wa kuzurura wiki nzima.

Vijana 500 kwa wiki nzima hawako kazini ni hasara kwa taifa
Siyo kila kijana lazima awe busy kutwa nzima huku akifanyishwa kazi na Mhindi, na kulipwa elfu 5 kwa siku kama wewe!

Dunia ya sasa imebadilika. Unaweza kuingiza hela huku ukiwa uko chumbani kwako. Badili mtazamo wako kijana.
 
Watakuja kukupopoa ila kiuhalisia katika watu ambao hawajielewi ni mashabiki wa Yanga, waangalie akili zao hata uwezo wao wa kufikiri utaona kuna shida pahala.

Na sijui kwanini wote wana akili za namna hiyo sijui ni ile Rangi au ndio Kuambukizana ujinga.

Sijawahi kuona Shabiki wa Yanga akawa mzima kichwani. Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…