Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubaliana na wewe, though wametuwakilisha sana kama nchi.Kijana ambaye yuko busy anapataje muda wa kuzurura wiki nzima.
Vijana 500 kwa wiki nzima hawako kazini ni hasara kwa taifa
Wanasubiri uwape kazi waache kuzururaKijana ambaye yuko busy anapataje muda wa kuzurura wiki nzima.
Vijana 500 kwa wiki nzima hawako kazini ni hasara kwa taifa
Una hangaika na house girl yeye andhani kila mtu anaishi kitumwaWale mashabiki wengi wamejiajiri Mkuu, mfano wauza mitumba, usiumizwe na maisha ya mtu ambaye hajawahi kukuomba chumvi
Zahoro matelephone unamjua? kama hawana kazi wamepata wapi nauli? Wewe mwenye kazi unapata wapi mda kujadili watu wasio na kazi?Mtoa mada uko sahihi 100% ,kuna watu Nawajua kwenye huo msafara hawana kazi....yaani wadangaji , vijana wa misheni town hawana mbele wa nyuma....huwezi kuta mtu smart na biashara zake au kazi zake yuko kwenye coaster anaenda nchi jirani kisa mpira
utafiti ulifanya wapi, lini, lengo lilikuwa nini? sample uliipatajeNa hata Vibaka wengi nchini ni Matopolo.