Mashabiki wa Yanga ni jobless? Mnapata wapi muda wa kuzurura hadi Rwanda

Huo ufukara wako ni mali yako wenzako wanafurahia maisha unabaki kusononeka
 
Hela bongo ipo kwenye kazi binafsi.

Waajiriwa wengi tunaamini kazi ni ile ya kuamka asubuhi kwenda ofisini na kurudi jioni nyumbani.. then mwisho wa mwezi mshahara laki nane ama milioni.

Huku watu wengi hiyo laki nane wanaipata kwenye dili ya masaa machache tu. Mfano ma mc wa harusi. Wajanja wajanja wenye followers wengi mitandaoni.. wakipost matangazo kazaa tu wanapiga hiyo hela ya mshahara fasta tu.
 
Yanga inatufundisha nn maana ya kuwa na mashabiki wanayoipenda timu yao

Kama n jobless nauli n tsh 150000 wameipata wapi?

Wanakula nn njian

Mm nipo hapa Kigali sojaona shabik akimuomba mtu pesa kila mtu anafanya yake
 
Wakati wewe upo una hangaika na viroba vya mkaa huko sisi tupo huku tunatumia pesa
 
Sasa Rwanda nayo ni sehemu ya kujivunia umeenda kutumia pesa? Watu wenyewe mmeenda na hayo Makosta mabovu nauli ya kibakuli. Mmejazana kama Mbuzi wanaenda mnadani
Umasikini wako unakufanya unatukana watu bure popote ni ulaya ukiwa na hela ! pole na misuko suko usikate tamaa ipo siku uta enjoy kama sisi
 
Umasikini wako unakufanya unatukana watu bure popote ni ulaya ukiwa na hela ! pole na misuko suko usikate tamaa ipo siku uta enjoy kama sisi
Haya bhana.. MKE wa Eng. HERSI
 
Ndugu zetu wana Thiiiiiimba tulikuwa tunaomba majibu mapema kuwa Al merrikh ni timu mbovu, vibonde au mtuambie mapema tujue baadae msije kuleta visingizio
 
We **** tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…