Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kilichopo ni mashabiki qa makolo jana kauli ya rais kwa ndio kombe lao na kombe jingine wanalolipambania ni la mfungaji boraAaaa huyo sio shabiki wa yanga mzee, final caf, kombe la ligi mabingwa, fa final, mayele kiatu cafcc , stress za nini,
hivi huoni aibu kwa hayo magoli 5 kufungwa kwenye mechi moja?Hawa uto vipi kila ukimgusa shabiki wa hii timu utasikia sisi tuna medali nyie mna nini wana fokafoka tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Toka mama alipopigilia msumari kuhusu dogo Fei na leo Saidoo kaweka goli tano huku akimpumulia kisogoni Mayele hawa uto wamekuwa na makasiriko ya ajabu, nyie uto mna shida gani si mna medali? sasa makasiriko ya nini?[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2648221
Ligi ya mabingwa?? Lipi hilooo?Aaaa huyo sio shabiki wa yanga mzee, final caf, kombe la ligi mabingwa, fa final, mayele kiatu cafcc , stress za nini,