Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

Well said [emoji2772][emoji2772]
 
Wana mhahooo.Angesema ,club pekee yenye falsafa za mshikamano.Club ilipokosa pesa wananchi waliichangia na ilipopata mafanikio ikashangilia na wananchi,na Leo club inakula sup na wananchiii.Zingatia neno wananchi.
Sure ,kipindi kile timu inaendeshwa Kwa bakuli Ni hawa hawa mashabiki na wanachama ndio waliochanga ,pamoja na magumu Yale lkn walikua pamoja na timu
Sasa HV waachwe wafurahie kila Zuri linalowatokea.
Pia hongera Kwa viongozi wa Yanga Kwa kuja na ubunifu wa kuwaleta pamoja wanachama,mashabiki na wachezaji
Fikiria walivyokuja na Ile idea ya mchezaji kupewa special match kama siku yake, pale mchezaji anajisikiaje kua the whole match yy ndie siku yake
Halafu tena Leo mashabiki na wanachama wakaandaliwa supu . Mchango WA hivi vitu sio Ile thamani yake ya kifedha Bali Ni Ile spirit inayojengwa
 
Njaa mbaya sana,wanapanda daladala kufuata supu ambayo ni buku mbili mtaani
 
Hakika umenena vyema.Wewe ni mwamba na juu ya jiwe hili mbele daima ,nyuma Mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…