Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

Huu unaitwa uchawi wa kizungu ,hao wakitoka hapo uwaambii kitu khs yanga na uongozi wake
 
Point sana wanasema sherehe bila chakula ni mkusanyiko usio na maana
 
Ningekua Dar,ningeenda kuinywa hiyo supu.Ni kumbukumbu inayokaa kichwani milele.
 
Njaa mbaya sana,wanapanda daladala kufuata supu ambayo ni buku mbili mtaani
Kama walivyo na njaa wanaochanga 50,000 kwenda kula ubwabwa ukumbini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…