Uchaguzi 2020 Mashabiki wengi wa Tundu Lissu ni wa mitandaoni hawako kamati kuu wala mkutano mkuu wa CHADEMA

Unasema utalindwa kwa mujibu wa katiba na sheria za Tanzania ...!!! Hivi umepona kweli wewe! Mara hii umesahau namna ulivyoutaka ulimwengu uitemee mate Tanzania?

Nadhani madaktari wanaweza wasiwe wametimiza wajibu wao.
 
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.

Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.

CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.

Maendeleo hayana vyama!
Mnapata shida sana na Lissu, mkisikia jina lake tu mavi yanagonga chupi. Kwa taarifa yenu ndiyo yeye kama hamutaki kunyweni sumu mfe. Nyie si mumeshapata mgombea wenu sasa kiherehere cha nini? Msiyemtaka ndiye atapeperusha bendera ya Chadema
 
1.Jikite kwenye hoja 2. sio personal attack 3.lissu sio Mimi mm naitwa owomkyalo
1. Hoja nikuwa anakanusha kuwa haji Tanzania kwa mbeleko ya ulinzi wa watu ng'ambo bali atalindwa na Katiba na sheria za Tanzania. Ninahoji hoja hiyo ya Lissu, iweje leo aone umuhimu wa kulindwa na katiba na sheria za nchi yetu wakati akiwa na akili timamu aliutaka ulimwengu uutemee mate Tanzania!

2. Hashambuliwi mtu hapa. Ukirejea dokezo namba moja, kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida kabisa lazima ajiulize, mtu aliyeitakia mabaya Tanzania akiwa na akili timamu tena mchana kweupe anawezaje kufikiria Tanzania hiyo hiyo impe ulinzi bila hata kujutia kitendo chake hicho cha kuitaka Tanzania itengwe na Dunia!? Ndiyo maana nikaandika yawezekana hajapona.

3. Sina hakika kama wewe ndiye Lissu ama la. Maana kwa mujibu wa sheria za JF, siwezi kuingia kwenye mtego wa 'name calling'. Maelezo ya awali yalikuwa yanajibu nukuu iliyokuwa kwenye post hiyo.
====
Nadhani ufafanuzi huu unatosha kuelewa maudhui ya post yangu ya awali.

Tuendelee na mjadala.
 
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.

Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.

CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.

Maendeleo hayana vyama!
Sema unataka kujua tuko wangap ...hilooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siasa za ccm zimeozesha vichwa vyenu mpaka unakuwa kama kichaa lissu kakuzidi kila kitu wewe muuaji wake. Roho mbaya zinawasumbua.
 
Uzi wa wana Lumumba kujifariji. Kweli mnalo mwaka huu Naona Lumumba hakulaliki wala hakukaliki. Hofu kuu ni Tunis Antipas Lissu.

Majibu mtayapataJumatatu kwenye mapokezi ya mbeba maono na kitukuu wa Mungu Tundu Antipas Lissu atakapowasili. Na message kuu mtapata hiyo tarehe 28 kwenye mkutano mkuu.

Poleni sana wana Lumumba jiandaeni tu kumuachia huyu jamaa ikulu hapo October.
 
Unasema utalindwa kwa mujibu wa katiba na sheria za Tanzania ...!!! Hivi umepona kweli wewe! Mara hii umesahau namna ulivyoutaka ulimwengu uitemee mate Tanzania?

Nadhani madaktari wanaweza wasiwe wametimiza wajibu wao.

Serikali na Tanzania ni vitu viwili tofauti. Lisu hajawahi kuwa na tatizo na Tanzania, tena ni mzalendo asiyejikweza. Lisu sio mzalendo kwa serikali, bali ni mzalendo kwa nchi hii. Rudi shule ukajifunze nchi ni nini, na serikali ni nini, na wajibu wa serikali na vyombo vyake kwa raia. Ukijua mambo hayo uje hapa uendelee na mjadala.
 
Mbona mnapata taabu sana na Lissu? Mmegeuka kuwa mamajusi wa lumumba, kutwa kucha mko bize kutabiri mara ooh Lissu hawezi kurudi, mara sijui nini kile.. tulieni.
Hahahaaa umenikumbusha msitari wa biblia kuhusu mamajusi tena wa lumumba
 
Hili swala lipo wazi, chaguo la Mbowe ni Nyalandu. Lissu kitamtokea kama kilichomtokea Slaa 2015. Hawa wa mitandaoni wenyewe wanajua kupiga kelele tu nyuma ya keyboard, ila uamuzi ushafikiwa na wenye chama.
Kama ni hivyo, kwa nini wajumbe 24 wameweza kupingana nae na kumpigia kura Lissu na watatu tu wakamuunga mkono? Ukweli ni kuwa wagombea wote wamefanya vizuri na wajumbe wote wanatakiwa kupongezwa kwa kupiga kura kwa jinsi nafsi zao zinavyowatuma na si kufuata pressure groups za mitandaoni. Wajumbe hao hao wameweza kumpa kura za kutosha mwanamke ambae wengi ilikuwa ndio kwanza tunamsikia. Kwa wale ambao wanataka Lissu ashinde ni wajibu wao kuwafuata wajumbe wa Mkutano Mkuu na kuwaeleza hisia zao.

Amandla....
 
Hili swala lipo wazi, chaguo la Mbowe ni Nyalandu. Lissu kitamtokea kama kilichomtokea Slaa 2015. Hawa wa mitandaoni wenyewe wanajua kupiga kelele tu nyuma ya keyboard, ila uamuzi ushafikiwa na wenye chama.
Lissu atajuta kumgeuka Dr.Slaa maana mazingira yanaonyesha kama na yeye linaweza kumtokea
 
Hili ni tatizo linalomgharimu Tundu Lissu katika siasa zake za kila siku.

Wengi wa wale wanaomuunga mkono ni mashabiki tu wa CHADEMA lakini siyo wanachama na unazi wao unaishia mitandaoni kama hapa Jf tu.

CHADEMA wanaamini katika ubepari na katika hilo Nyalandu ndiye candidate bora hata Lissu mwenyewe anajua ila wale akina mmawia ndio wanamjaza upepo wa kujitoa ufahamu.

Maendeleo hayana vyama!
Hata Magu hakuwa na wajumbe aliwapata baada ya Membe na January na Lowasa kukatwa .
 
Back
Top Bottom