Uchizi ndio Huu sasa 😂😂😂😂Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Bro mda wowote na wewe unakufa kwa hiyo kaa chonjoMagufuli ndiye katuletea hili bunge la hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya zaidi
Bro mda wowote na wewe unakufa kwa hiyo kaa chonjo
Ndo umejua leo?Kumbe magufuli alkua na mashabiki na sio wanachama wa chama cha ccm
Ndio mkuu….kwa samia yeye hana mashabiki?!Ndo umejua leo?
NakubaliMimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.