pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Sema furaha yangu, ya wengi na nani jisemee wewe humu kila mtu ana yakeSawa ukweli ni kwamba kifo cha mtu aliyekuwa katili ni furaha ya wengi

Ngoja lijalo kama mambo yatabaki kama yalivyoMagufuli ndiye katuletea hili bunge la hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya zaidi
Sema furaha yangu, ya wengi na nani jisemee wewe humu kila ana yake
ni sawa .alikini chadema wamekataa uchaguzi.sasa unawaita waje kufanya niniMimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Mbona tayari au wewe hujaona.Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Hao wengi walikuwa wapi?Umesahau jinsi Watanzania wengi walifurahia?
Binafsi sikuipenda CCM ila nilimkubali JPMKumbe magufuli alkua na mashabiki na sio wanachama wa chama cha ccm
Hao wengi walikuwa wapi?
OkMitaani hadi mitandaoni
Cdm hawa hawa ambao walishangilia baada ya jpm kufa..Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Bila shaka sasa hv mama ameiponya nchi na mpo salama 😂Magufuli ndiye katuletea hili bunge la hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya zaidi
Bila shaka sasa hv mama ameiponya nchi na mpo salama 😂
Sasa c ndo nasema mama ameiponya nchi mpaka sasa hakuna yale mambo ya magufuli, au nasema uongo ndugu zanguni?Hayo umesema wewe yote haya ni legacy ya Magufuli
Hahaa kaiponyaje mkuu?Sasa c ndo nasema mama ameiponya nchi mpaka sasa hakuna yale mambo ya magufuli, au nasema uongo ndugu zanguni?
Watanzania wengi ndo wangapi, mbona mm sikufurahi au mm sio mtanzania?Umesahau jinsi Watanzania wengi walifurahia?
Nyie mnaomponda JPM c ndo kauli zenu hizoHahaa kaiponyaje mkuu?
Wewe ni nyumbu msahsulifu. Kuna Watu waliofurahia kifo chake kama Braza K Mapovu na wafuasi wake? Mnajipendekeza kwa Chuma Magufuli ili mpate uungwaji mkono. Pathetic.Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
una hoja usikilizweMagufuli ndiye katuletea hili bunge la hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya zaidi
Wachache hamkufurahiaWatanzania wengi ndo wangapi, mbona mm sikufurahi au mm sio mtanzania?
Sio kwa woteNyie mnaomponda JPM c ndo kauli zenu hizo