Mimi nimehama TayariMimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
SawaMimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Here we go ✌️Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Hakua na nia mbaya hivyo inatakiwa tuunganishe nguvuMagufuli ndiye katuletea hili bunge la hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.
Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya zaidi
Alikuwa mjinga mmoja tuHakua na nia mbaya hivyo inatakiwa tuunganishe nguvu
Alifurahia nani wewe, ulifurahia wewe na mafisadi yanayokula pesa za wananchi kupitia mama yenu mwehuUmesahau jinsi Watanzania wengi walifurahia?
Wakati mnamtukana Mwamba Magufuli tunawaambia muwe na akiba ya maneno hamkusikia. Eti leo tuhamie Chadema! Shenzi kabisa!Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Karibuni sana CDM kwa wapiganaji.Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo hivyo. Tunafanya nao kazi za kijamii huku Mitaani, ni watu wazuri sana, zaidi sana wanataka haki. Kwa hiyo nimeamua kufanya hivyo kutokana na CHADEMA kuongea lugha moja na JPM hasa katika mambo ya:-
1. Rasilimali za Nchi hii.
2. Kukemea ufisadi.
3. Kukemea uzembe katika kazi.
4. Kupigania haki za wanyonge.
Naomba Watanzania wote waliokuwa wafuasi wa JPM, tuhamishie ufuasi wetu CHADEMA.
Nawasilisha.
Yes, tulikuwepo na bado tupo. Nilijiondoa chadema baada ya chama kukodishwa kwa lowassa ili agombelee urais. Nikabaki bila chama, lakini shabiki mkubwa wa yule shujaa.Kumbe magufuli alkua na mashabiki na sio wanachama wa chama cha ccm
Unafurahi wengine kufa .hahaaSawa ukweli ni kwamba kifo cha mtu aliyekuwa katili ni furaha ya wengi
Ujalazimishwa unaweza kubaki Kwa mama .watoto WA mama ndivyo mlivyoIngekuwa bado ipo chadema ile ya Dr Slaa ningerudi chamani. Lakini hii ya kichaa hata kwa ncha ya upanga "chikokoni" njomba!