Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Ila ukweli Heche ni kamanda, wakati mwingine naona ni zaidi ya Lissu. Huo ni mtizamo wangu.Heche anaifanya vyema kazi hii,
Anakiri hadharani uzalendo wa Magu Katika kulinda raslimali za nchi.
Tanganyika Mungu atubariki atupe huyu mwamba hata kipindi kimoja tuu.
Nadhani wengi akili zitakaa sawa Heche akiwa Rais wa JMT.