Mashabiki wote wa mwamba John Pombe Magufuli (JPM), twendeni CHADEMA

ni sawa .alikini chadema wamekataa uchaguzi.sasa unawaita waje kufanya nini
 
Mbona tayari au wewe hujaona.

Ukiachana na wale wachache waliopo vyeoni
 
Cdm hawa hawa ambao walishangilia baada ya jpm kufa..
HUO USENGE!
KWANZA KUFUATA NINI HUKO CHADOMO!
 
Magufuli ndiye katuletea hili bunge la hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya zaidi
​
Bila shaka sasa hv mama ameiponya nchi na mpo salama 😂
 
Wewe ni nyumbu msahsulifu. Kuna Watu waliofurahia kifo chake kama Braza K Mapovu na wafuasi wake? Mnajipendekeza kwa Chuma Magufuli ili mpate uungwaji mkono. Pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…