Mashabiki wote wa mwamba John Pombe Magufuli (JPM), twendeni CHADEMA

Unatutukana Watanzania.

CHADEMA ndiyo iliyoingia ubia na wauaji wake, halafu tukimbillie huko?

UMOJA party tumwachie nani? mfyuuuuuu
 
Mimi nimehama Tayari
 
Sawa
 
Here we go ✌️
 
Magufuli ndiye katuletea hili bunge la hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Bora alivyokufa alikuwa anatupeleka pabaya zaidi
​
Hakua na nia mbaya hivyo inatakiwa tuunganishe nguvu
 
Huyu mwamba JPM aliniacha na majonzi makubwa, angalia sasa mafisadi yanavyoitafuna nchi.
 
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Wakati mnamtukana Mwamba Magufuli tunawaambia muwe na akiba ya maneno hamkusikia. Eti leo tuhamie Chadema! Shenzi kabisa!
 
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Karibuni sana CDM kwa wapiganaji.
 
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
 
Ingekuwa bado ipo chadema ile ya Dr Slaa ningerudi chamani. Lakini hii ya kichaa hata kwa ncha ya upanga "chikokoni" njomba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…