Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Ila ukweli Heche ni kamanda, wakati mwingine naona ni zaidi ya Lissu. Huo ni mtizamo wangu.Heche anaifanya vyema kazi hii,
Anakiri hadharani uzalendo wa Magu Katika kulinda raslimali za nchi.
Urais bado,Ila ukweli Heche ni kamanda, wakati mwingine naona ni zaidi ya Lissu. Huo ni mtizamo wangu.
Tanganyika Mungu atubariki atupe huyu mwamba hata kipindi kimoja tuu.
Nadhani wengi akili zitakaa sawa Heche akiwa Rais wa JMT.
Huyu wenu alianzia wapi?Urais bado,
Aanzie kwenye wizara.
Mawazo yako ni matokeo ya ufinyu wa uwezo wa kufikiri. Kudhani kwamba yeyeto asiyetaka kwenda chadema basi ni ccm, ni kiwango kikubwa cha utoto wa kufikiri.Ujalazimishwa unaweza kubaki Kwa mama .watoto WA mama ndivyo mlivyo
Bado Unakuwa ndani ya CCM.Mawazo yako ni matokeo ya ufinyu wa uwezo wa kufikiri. Kudhani kwamba yeyeto asiyetaka kwenda chadema basi ni ccm, ni kiwango kikubwa cha utoto wa kufikiri.
Nani huyo,Huyu wenu alianzia wapi?
Naona nahangaika na utotoBado Unakuwa ndani ya CCM.
Cuf = CCM (a)
Chaumma=CCM (b)
Act wazalendo=CCM (c)
Na vyama vingine marafiki.
Mtaelewa tu mwaka huuCdm hawa hawa ambao walishangilia baada ya jpm kufa..
HUO USENGE!
KWANZA KUFUATA NINI HUKO CHADOMO!
Unawatukana chadema ambao walikuwa wahanga una mprais aliyewahangisha?chadema walimsakama na kufurahia kifo cha rais wa kweli, ajabu wanayojifanya kuyapigia kelele leo ndio yaleyale rais magufuli alikufa akiyapigania na kuyasimamia
mwanadamu ni kiumbe wa ajabu, wanaiasa wengi wana maslahi yako mbele na wanafki. Chadema ni washenzi kwa kiwango kilekile kama ccm tu
RIP JPM.
Utoto WA fikra zako mwenyewe.Naona nahangaika na utoto
Hakuna ghentoMtaelewa tu mwaka huu
You made my dayπππππππππππHuyu wenu alianzia wapi?