Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara.

Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara.

Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa jmosi mtanishukuru.

Binafsi nimetenga milioni 1 ya kubet, sina mashaka, amphibian watashinda nami nitapiga hela ndefu ya khanjbay.

Fursa huwa haiji mara mbili.
 
Utopolo washindwe kutajirika wenyewe
GLNI-1zWoAAdTB4.jpeg
 
Back
Top Bottom